Wakala kutoka songea

Pastor Achachanda

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2012
Posts
3,023
Reaction score
1,317
Natengeneza-
1.Shampoo za aloevera,karoti,mayai(ya kuku wa kienyeji),apple na ukwaju.
2.Dawa za usafi chooni,kufulia,kuoshea vyombo,sabuni ya kuoshea vioo vya magari
3.Jam ya nyanya,papai,tangawizi nk.
Kama kuna mtu anataka kuwa wakala kutoka Songea ani pm.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…