Smart codetz
JF-Expert Member
- Jan 25, 2023
- 228
- 933
UmeniwahiKwahiyo ?
Alifikiri anajua pekeyakeWengi tunajua hivyo.
Wapumbavu sana hawa jamaaUmeniwahi
Sawa"Jean Baleke hatakiwi kuichezea Simba itakapoivaa Yanga tarehe 16/04/2023, kwa mujibu wa mkataba
Kwa hiyo tukusaidieje hapo?JEAN BALEKE NI MCHEZAJI WA TP MAZEMBE
"Jean Baleke ni mchezaji halali wa TP Mazembe ambaye kwa sasa anacheza Simba kwa Mkopo wa makubaliano ya misimu miwili
"Simba haikumnunua moja kwa moja mchezaji huyu yupo pale kwa Mkopo ila ni mchezaji wa TP MAZEMBE,"Msimamizi wa Mchezaj
View attachment 2582446
Hakuna aliyekataa. Na simba si mazwazwa, na baleke sio mtumwaJEAN BALEKE NI MCHEZAJI WA TP MAZEMBE
"Jean Baleke ni mchezaji halali wa TP Mazembe ambaye kwa sasa anacheza Simba kwa Mkopo wa makubaliano ya misimu miwili
"Simba haikumnunua moja kwa moja mchezaji huyu yupo pale kwa Mkopo ila ni mchezaji wa TP MAZEMBE,"Msimamizi wa Mchezaj
View attachment 2582446
Kama kamboleAta Simba wanaye mchezaji wao Ustaadhi Manzoki wamemtoa Kwa mkopo uko u china atarudi Tena kipindi Cha Uchaguzi mkuu wa viongozi.