Utingo JF-Expert Member Joined Dec 15, 2009 Posts 10,265 Reaction score 8,094 Jul 1, 2013 #1 [h=5]askari wa dola huru ya znz wakitoa sallam kwa Rais Mtarajiwa wa znz.......2015[/h].......................
[h=5]askari wa dola huru ya znz wakitoa sallam kwa Rais Mtarajiwa wa znz.......2015[/h].......................
NATA JF-Expert Member Joined May 10, 2007 Posts 4,492 Reaction score 1,313 Jul 1, 2013 #2 CUF linajeshi?
Mwana Mtoka Pabaya JF-Expert Member Joined Apr 22, 2012 Posts 15,117 Reaction score 16,500 Jul 1, 2013 #3 Jamani we mtoto, loh, kisa gani na mbavu zangu?!!! Waliberali wanaweza kuwa na wakakamavu? Hayo ni maandalizi ya sherehe za MWAKAKOGE
Jamani we mtoto, loh, kisa gani na mbavu zangu?!!! Waliberali wanaweza kuwa na wakakamavu? Hayo ni maandalizi ya sherehe za MWAKAKOGE
Utingo JF-Expert Member Joined Dec 15, 2009 Posts 10,265 Reaction score 8,094 Jul 1, 2013 Thread starter #5 Mwana Mtoka Pabaya said: Jamani we mtoto, loh, kisa gani na mbavu zangu?!!! Waliberali wanaweza kuwa na wakakamavu? Hayo ni maandalizi ya sherehe za MWAKAKOGE Click to expand... si unawaona mwenyewe....mimi mwenyewe nimecheka mno
Mwana Mtoka Pabaya said: Jamani we mtoto, loh, kisa gani na mbavu zangu?!!! Waliberali wanaweza kuwa na wakakamavu? Hayo ni maandalizi ya sherehe za MWAKAKOGE Click to expand... si unawaona mwenyewe....mimi mwenyewe nimecheka mno
Le' baby Member Joined Jun 21, 2013 Posts 69 Reaction score 8 Jul 1, 2013 #6 Kuna watu wanavituko chini ya hili jua he he he hao ndio wakakamavu?
Bigirita Platinum Member Joined Feb 12, 2007 Posts 16,042 Reaction score 7,474 Jul 1, 2013 #7 Hapa kuna mkakamavu kweli hapa......angalia mdebwedo!
ndetichia JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 27,769 Reaction score 6,585 Jul 1, 2013 #8 Le' baby said: Kuna watu wanavituko chini ya hili jua he he he hao ndio wakakamavu? Click to expand... wewe unawaonaje kwani..
Le' baby said: Kuna watu wanavituko chini ya hili jua he he he hao ndio wakakamavu? Click to expand... wewe unawaonaje kwani..
Riwa Platinum Member Joined Oct 11, 2007 Posts 2,607 Reaction score 3,083 Jul 1, 2013 #9 Ingekuwa Chadema hapo...halafu hiyo 'shoo' imefanyikia Arusha au Moshi! Pasingelalika hii nchi!
Utingo JF-Expert Member Joined Dec 15, 2009 Posts 10,265 Reaction score 8,094 Jul 1, 2013 Thread starter #10 Riwa said: Ingekuwa Chadema hapo...halafu hiyo 'shoo' imefanyikia Arusha au Moshi! Pasingelalika hii nchi! Click to expand... Cha ajabu Jeshi lote la Police lingehamishiwa Arusha kudhibiti hii midebwedo...LoL!!
Riwa said: Ingekuwa Chadema hapo...halafu hiyo 'shoo' imefanyikia Arusha au Moshi! Pasingelalika hii nchi! Click to expand... Cha ajabu Jeshi lote la Police lingehamishiwa Arusha kudhibiti hii midebwedo...LoL!!
KakaJambazi JF-Expert Member Joined Jun 5, 2009 Posts 18,830 Reaction score 12,292 Jul 1, 2013 #11 Wanafanya nini hao? mbona hawawezi simamia mguu mmoja?
Le' baby Member Joined Jun 21, 2013 Posts 69 Reaction score 8 Jul 1, 2013 #12 ndetichia said: wewe unawaonaje kwani.. Click to expand... Nawaona kama wanavonekana hapo
N-handsome JF-Expert Member Joined Jan 23, 2008 Posts 2,453 Reaction score 561 Jul 1, 2013 #13 Mwana Mtoka Pabaya said: Jamani we mtoto, loh, kisa gani na mbavu zangu?!!! Waliberali wanaweza kuwa na wakakamavu? Hayo ni maandalizi ya sherehe za MWAKAKOGE Click to expand... Uchokozi huo na lugha ya uchochezi ha ha ha ha ha ha ha
Mwana Mtoka Pabaya said: Jamani we mtoto, loh, kisa gani na mbavu zangu?!!! Waliberali wanaweza kuwa na wakakamavu? Hayo ni maandalizi ya sherehe za MWAKAKOGE Click to expand... Uchokozi huo na lugha ya uchochezi ha ha ha ha ha ha ha
Shine JF-Expert Member Joined Feb 5, 2011 Posts 11,481 Reaction score 1,371 Jul 1, 2013 #14 Ndoto hizo!
happiness win JF-Expert Member Joined Aug 30, 2011 Posts 2,461 Reaction score 1,394 Jul 1, 2013 #15 Utingo said: askari wa dola huru ya znz wakitoa sallam kwa Rais Mtarajiwa wa znz.......2015 ....................... View attachment 100317View attachment 100318 Click to expand... View attachment 100316 Washakunywa urojo??
Utingo said: askari wa dola huru ya znz wakitoa sallam kwa Rais Mtarajiwa wa znz.......2015 ....................... View attachment 100317View attachment 100318 Click to expand... View attachment 100316 Washakunywa urojo??
Baba V JF-Expert Member Joined Dec 29, 2010 Posts 19,479 Reaction score 9,546 Jul 1, 2013 #16 Wakakamavu wa kiduku ama..!!!?? kweli Waliberali wana vituko aisee..!!