Wakaka waliowahi kuwa heartbroken

alafu yanakuaga mabahili hayoo!dah

Umenigusa, yaani nilianzaa ubahiri baada ya kuwa heartbroken,,,.. sometimes you give her everything,,, ukipata mdada mwingine....! unaanza kufill kuwa ndo walewale ndo maana tunajihami mapema. kama upo committed ntakuona tu,,,a au umefuata hela au malovedavi? ndo hapo sasa nakulamba hela sikupi then nakumwagilia kule nshatendwa sijari. naita mwingine
 

Na una mshahara? unautumia hadi unaisha?,

Sasa unataka na yeye wakwake uutumia hadi uishe alafu utanitafuta na mimi uutumie wa kwangu hadi uishe au?.

Ma bigi haya.
 
Vannele you have a bigger problem than the man, honestly!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…