Ndiyo tunajua ila kwa sasa tunapambana kidogo hali yetu muwe wavumilivuMmmh
Kumbe mnajua
Nanyi,punguza maneno,hujajibiwa moja umeanzisha jingine,,!!!!! Story zipange kwa pozi,!Heloooo
Kidogo nimeona nije Na masomo kadogo Leo baada ya wiki Tamu hii ya 900 itapendeza!!
Jamani wakaka/ wababa Sio eti Ukiwa Na six pack au pesa au muonekano mzuri Sijui urefu ndo Wanawake wachumba utapata Nope!!
Sometimes you need to be gentleman/ Romantic and charming.
Nimeona humu baadhi wanalalama wana kila kitu but hawawapati wapenzi.
Siri ndo hiyo.Tumia lugha tamu Na lakini.
Siku zingine nunua Hata fresh flowers mpelekee, vinguo vizuri zuri vya ndani visandozi..n.k
Simple.Na visurprise surprise!
Fanya maisha yenu ya kimapenzi mepesi laini.
Kukalipiaa Ubabe nooo!
Mwanamke anahitaji kubembelezwa
Vikosa vidogodogo puuzieni
Jamani Kuna wanaume wana Gubuuuu
Hapana!!
Utakimbiwa.
OK.Good Night.
Heloooo