Wakaka wa JF...

ebwana dah we sista nimekukubali ile ki noma yaani
umechana live bila chenga
kama vipi nini mdogo wako niko kwa hapa too much single and lonely ki vile
sasa kama vipi nini mi nakuendea juu kwa juu
 
Kudo nimewahi ila si mzoefu hivyo siwezi kuonesha uzoefu ni sawa na Uzoefu wa Yanga na simba then ufananishe na AZAM
zipu hujalala bado???unless alikuwa anamaanisha vingine nilivyoelewa kuonyeshana uzoefu ni kwenda kuduu na si vinginevyo,sasa hebu uniambie hujawahi kuduu??au umeelewaje???au ni mie ndio sielewi?:embarrassed::embarrassed::embarrassed::embarrassed:
 
Pauline yaani tabasamu lako kwenye avatar lako linanikosesha usingizi,
 
Pauline, hivi hilo tatizo la kuhitaji kuwa "noticed, complimented, kudekezwadekezwa," nk, huwa ni tatizo la kiutamaduni (yaani mnajifunza kutokana na mazingira yenu) au ni tatizo la kijinsia (ni hitaji la wanawake wote no mattaer where they are)?
Mi sikujua km ni hitaji kubwa hivyo!
 


Nonda hii kasi yangu soon itaisha kama alivyoanza JK...hahaha
Unanifanya nijihisi km niko peke yangu mwenye kujitaji hizo PM:embarrassed::embarrassed::embarrassed::embarrassed:
Kwani wadada wa humu ni kweli hamtaki kupiemiwa???:embarrassed:
wewe je??usingependa?:teeth:
 
Nshakustukia Preta. Nikiingia chumbani kwako mlango n'taufunga alafu ufunguo naweka mfukoni. Yaani hapo sitoki tena kuwaachia ao akina Zipuwawa wanaorandaranda hapo nyumbani kwako!
 

mie naona limekaa kijinsia zaidi,haijalishi mwanamke yupo wapi...:teeth::whoo:
 
zangu siongei mjita mie swaga tu

Nadhani wewe ni wale wanaotembea km kuna mawaya chini,visigino havifiki chini...hahhahaha....kama huongei mbona itakuwa ngumu sasa???:redfaces::redfaces::redfaces:
 
Nashukuru kwa wakaka walionitumia PM...i really apreciate guys!!!:A S thumbs_up::A S thumbs_up::A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2::A S shade:
 
he!hii kali!wadada wanapenda kusemeshwa njiani!avatar nzuri ili kudraw attention!wanapenda pm!basi wacha nijiite wiseman maana hizo sifa kwangu haziapply.

NI KWELI KABSA NAUNGANA NAWEWE
nina mashaka na JINSIA YA MTUMA POST.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…