mama la mama
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 304
- 152
- Thread starter
-
- #61
Kumbe mwanamke anayechelewa ndo mzima, sikujua. Wanawake wana tatizo kubwa la nguvu sema watu hawajui tu.
N money pia wew
Kuna wanaume mjin hapa mtaji wao n kujua kusugua vzuri peke ake yani
Wa kusugua tu eeeh???
yani bila kupata msosi wa nguvu wenye balanced diet, mwanamke hafikishiki kileleni!
ngoja mie nijipatie hii menyu kwanza, baadae mie huyooo escape one!
Kumbe mwanamke anayechelewa ndo mzima, sikujua. Wanawake wana tatizo kubwa la nguvu sema watu hawajui tu.
Tatizo wanawake wengine mnajivunga mno mwambie mwenzio hakuna kukojoa had mm nikwambie na kujiutuma si kukata kiuno tu mpe maneno yenye kuhamasisha mambo yaendelee sasa unakuta binti ndo kakazana kukata kiuno utafikiri mota ye ndo anafikiri anapatia ile inataka kwenda kwa step yaan m na k viende sawa kwamana ya kuwa wakati wa kwenda kushoto lazima wote mwende siyo huyu kulia yule kushoto lazima kunammoja atadhulumika halafu weka mawazo pale,unakuta kidume kiko kazini wewe unaweza hela ya kuendea saloon
Hapo ndipo wengi walipo. Wanawake wengi wanadhani hiyo sanaa ni kuviringisha tu hicho kiuno; No baby, Jifunze kitu kingine. Ujasiri wa kumwomba asije bila weye kumwambia. Pia weka mawazo kwenye huo mtanange. Muwazie huyu aliepo sasa hivi sio yule wa miaka ileeee.
Mpende kweli kweli, mweleze unavyomfurahia sio kuwaza ya kale. Kama sijakufikisha, mbona huniambii unaenda kuwaeleza dada zako? Huu ni ujinga tu. Nieleze mime niliye nawe, ukiniambia vizuri si kesho nitajirekebisha na kufanya vizuri zaidi?
Tujitahidi kujitambua kuwa tunahitajiana sote. Mambo ya saloon ni baadaye. Pia wanaume nanyi, jitahidini. Nenda kwa mkeo kabla ya kulewa. Ati bila pombe hiyo kitu siwezi. Poor me!
Nilewe nimwendee mke wangu au hawara wa ukwelii? Mbona maajanga haya! Usipomtosheleza nakuambia hawa hawana simile. The first man to cut her way, anajichukulia kiulainiii. Weye unaenda kwa hawara, umelewe halafu kwa sababu ulichelewa bar, unataka cha haraka ukimbilie home wife asijue. Weye babu jinga tu. Unamwacha mwenzio akiwa very very hot. Anatafuta kipoozeo. Nyumbani huwezi tena, naye anabakia very hot, anatafuta kipoozeo. Hayo ni majanga.
Jamani mapenzi n kuridhishana n wote kufurahi sasa wakaka wengi wenu mnachojua n kupanda mruke ruke mmwage volcano yenu mnashuka bila kujali mwanamke wako kama kafika au laa, kuwen n huruma jaman tuwe tunasaidiana kufikishana
Well said n zaid ya majanga, hahaha n kweli kuna wanawake hawajitumi, ila kuna wanawake wanajituma ila hawapat ushrikiano toka kwa wanaume
wanawake wengine wana conditions nyingi sana wakati wa ku do!
utasikia staili hiyo mimi sijazoea (si 0713), mara siwezi hii nk. hizi zinakata stim ya mwanaume..... anaamua ajimalizie alale.
Hahahhaha umenichekesha kuna style zingne n ngum kwelu muwe waelewa we sii umeangalia kwa sex movies wale wako kibiashara wataka nije kuiappky, style sio kunufikusha kilekeni ati, maandalizi mazur muhmu
ishu ni kwamba kuna simple styles inabidi muanze nazo ili kuepuka mhemko wa mwanaume hatimaye akufikishe. mwingine anang'ang'ania muanze na kifo cha mende, hapo si jamaa anamwaga fasta?
Hahahhaha kwa kweli we jilie vzur usije acha n boo boo wako bureeee
umeonaeeenh!! mambo ya kupelekana escape one huku una buku mfukoni, kuaibishana huko bana!
by the way, usafiri mida ya kurudi nako? si majanga mengine hayo? hata guta lenyewe sina!!!
Kama ww unawah kwa kifo cha mende sio wote wengine wanamwaga kwa mbuz kagoma n zinginezo kuna style za kuapply ila hzi za kuiga hata me cko tayar, napenda maufund kutandan ila sio unfanye me uwanja wa mazoezi