mama la mama
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 304
- 152
^^
Mapenzi ni sayansi na sanaa, utundu na ujuzi hutofautiana mtu hadi mtu.
Sema hujampata wa kukuweka sawa mpaka ukosee mlango wa kutokea.
^^
wewe si mama la mama ? Au bado hujawa mama?
Hapana ndgu, hii kitu kila nkikaa n marafik zangu wa aina tofauti lazma watalalamika hawafikishwi wanadai wenza wao wanajiangalia wao, hzo sanaa sasa ndo wengi wenu hamna unajituuma kwa mkaka mwisho wa cku anamaliza anakuacha ndo kwaaanza
^^
Kuna kitu kinaitwa pumzi ya mwanaume, ni kweli mara nyingi wanaume hutoa bao moja hulala, lakini baada ya goli moja safari ya hapo ndipo wanaume hutofautiana kulingana na pumzi.
Kuna mengi yanatokea ikiwemo ushirikiano wa mwanamke, maandalizi ya mwanamke, uteuzi wa maneno, na namna ya kutawala uwanja.
Naamini wapo wanaume wazuri wanaojua nini wafanye na wakati gani kumiliki stamina ya mchezo huu mtamu kuliko yote ktk ufikiri wa mwanadamu
^^[/QUOT
Nakuunga mkono kaka, n kweli wapo wanaume wanaojijulia n kwenda sawa n mwenza wake, kuanzia maandaliz had kumaliza,,, ila kwa hao naozungumzia tatzo limekua kubwa sana asee, yan wanaume wengi hawajui kumuandaa mwanamke wanachojua wao n kufika n kupanda n kumaliza,, kuna wakati inabid mwanamke ujiandae mwenyewe kifikra uvute hisia zako weee ndo ujisaidie mwenyewe vinginevyo mhhh majanga
Hiyo Id yako unaonyesha una ujuzi wa kufa mtu kwenye 6 kwa 6.
Iweje umeshindwa kumwambia huyo uliye naye?
au wewe sio mkewe?
Jamani siyo kwamba wanajiangalia wao tu ukweli ni kwamba kunawanaume hawajui kumwandaa mwanamke kabsa,chakufanya ni kumsaidia mnapokutana
Sometime wanatakaga sana kuendelea but mwili unagoma. So kubaki macho juu sometime inakubalika.
kama na wewe hutaki kufika je utafikishwaje?
Kilio chako nimekisikia.