Wakae pembeni kupisha uchunguzi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wakae pembeni kupisha uchunguzi

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by Waridi, Jun 27, 2012.

 1. Waridi

  Waridi JF-Expert Member

  #1
  Jun 27, 2012
  Joined: Mar 30, 2008
  Messages: 1,027
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Kufuatia kitendo cha kikatili cha kumteka, kumpiga na kumjeruhi vibaya sana Dr. Ulimboka, katika mazingira ya yeye na madaktari wenzake kudai haki, wafuatao wakae pembeni kupisha uchunguzi;
  1. Waziri wa Afya (kwa kuwa ana dhamana ya wizara husika)
  2. Afisa wa Ikulu, David (kufuatia tuhuma za kumpigia simu mwathirika)
  3. Mkuu wa usalama wa Taifa (shuku ya umma kwamba idara anayoiongoza huenda inahusika)
  4. ...
  5. ...

  Wabunge wetu komaeni na hili.
  Tena itafaa kama uchunguzi utaendesha na vyombo vya kimataifa, maana hivi vya ndani huenda ndio hao hao wahusika.
   
 2. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #2
  Jun 27, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,692
  Likes Received: 12,738
  Trophy Points: 280
  Yan huyu david ana husika kabisa.
   
Loading...