Kama umefanya backups ya data zako hapana mbaya au kama hauna haja nazo, kuna scenario mbili kubwa na windows kubwa za windows ku fail
Hardware, kama hdd inakaribia kufa au hata kama ukiweka windows upya hiyo kitu itajirudia ndani ya mda mfupi itarudia. Au wkt mwingine kama kuna hardware mpya imekuwa installed.
Software, kama shida ni hii fanya windows upya itakaa sawa.