jaribu kuboot safe mode,
washa pc kisha shikilia f8 ama bonyeza mara nyingiii f8 mpaka itokeee menu inayokuuliza namna unavyotaka kuboot windows
chagua safe mode,
kama itakubali windows na hio safe mode ukiwa ndani unaweza jaribu haya
1. kurestore pc hadi tarehe ambayo ilikuwa inafanya kazi vizuri
2. kutumia ant virus kama malware bytes na kuscan pc yote.
then zima pc na jaribu kuwasha tena kawaida