Wajuzi wa "SECONDMENT" msaada tafadhali

What if natoka halmashauri nimepata NGO. Naomba likizo mkataba ukiisha narudi sio?!
unarudi kama nafasi yako itakuwa bado ipo wazi haijajazwa, ila kama mwajiri akiripoti kwamba nafasi yako imejazwa inaweza kula kwako mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…