Kama akiajiriwa secta binafsi hamna shida ila kama anataka kwenda kwenye taasisi ya serikali, check namba itamsumbua Sana.tafuta kazi kwenye hizo Taasisi zinazohusiana moja kwa moja na field uliyosomea,ukipata just resign tu huko Jeshini uliko kupunguza mambo mengi,nilifanya hivyo baada ya kuhitimu Bachelor yangu
na Secondment ya maana ni unatoka Serikalini unaenda kwenye UN Agencies au Regional Organisation(kama utakumbuka miezi mitatu iliyopita kuna yule Dada Irene Isaka)alikuwa Mkurugenzi Mkuu wa Idara fulani ya Serikali,lakini EAC walitangaza kazi anazofit akaomba na akapata,so akaenda EAC nafasi yake Rais akamteua mtu mwingine, Secondment ya kutoka Idara moja ya Serikali kwenda Idara nyingine ya Serikali haina jipya sanaHabari za mda huu ndugu zangu, poleni na hongereni kwa mapambano ya maisha ya Kila siku.Nisiwachoshe ngoja niende moja kwa moja kwenye lengo la hii mada
Mimi ni mfanyakazi katika moja ya vyombo vya ulinzi na usalama, na nikwamuda Sasa nimekua nikijiendeleza kimasomo na hatimae mungu ni mwema nimefanikiwa kuhitimu mosomo yangu katika moja ya vyuo hapa Tanzania
Masomo niliyohitimu ni masuala ya usalama wa mifumo/mitandao pamoja na uchunguzi wa kisayansi katika masuala ya kidigitali ,lengo langu nahitaji nipate nafasi katika moja ya taasisi zinazojihusisha vizuri na masuala haya niliyosomea kwa njia ya secondment ,kwa wale wasiojua maana ya secondment labda " ni uhamisho wa muda wa mfanyakazi kutoka katika taasisi moja kwenda taasisi yingine kwa lengo la kuongeza maarifa na kupeana ujuzi mbalimbali"
lakini kikubwa ni Mimi kupata ujuzi na kushilikiana kwa wenzangu namna wanavyofanya kazi kwenye hii taaluma maana kinachohitajika hapa ni practice na sio theory tena .Sasa wakuu naomba kama kunamtu alishawahi kutumia hii njia kuhama kwa muda kutoka taasisi yake ya mwanzo na kuhamia nyigine anisaidie kunipa roadmap ya jinsi yeye alivyofanya na masuala mbalimbali yanayohusu secondment katika taasisi zetu.Asante
What if natoka halmashauri nimepata NGO. Naomba likizo mkataba ukiisha narudi sio?!na Secondment ya maana ni unatoka Serikalini unaenda kwenye UN Agencies au Regional Organisation(kama utakumbuka miezi mitatu iliyopita kuna yule Dada Irene Isaka)alikuwa Mkurugenzi Mkuu wa Idara fulani ya Serikali,lakini EAC walitangaza kazi anazofit akaomba na akapata,so akaenda EAC nafasi yake Rais akamteua mtu mwingine, Secondment ya kutoka Idara moja ya Serikali kwenda Idara nyingine ya Serikali haina jipya sana
kwenda NGO huwa wanakataa,wanatakaaga uende kwenye Regional au UN Agency,wanaamini huko ndiko utajifunza mengi ya maana ambayo ukirudi Serikalini utaongeza something new,but all in all Secondment ni kwenda kupata expose ya Mshahara mzuri tuWhat if natoka halmashauri nimepata NGO. Naomba likizo mkataba ukiisha narudi sio?!
Mkuu,Mimi sina shida na kazi ila nahitaji tu kwenda kupata ujuzi kwa kipindi kifupi tu then nirudi kazini kwangu,mfano fani niliyosoma inafafanyiwa sana kazi TCRA,EGA na CAG na sehemu mbalimbali Sasa nikisema nianze kutafuta kazi naona kama itakua long process kuliko hii njiatafuta kazi kwenye hizo Taasisi zinazohusiana moja kwa moja na field uliyosomea,ukipata just resign tu huko Jeshini uliko kupunguza mambo mengi,nilifanya hivyo baada ya kuhitimu Bachelor yangu
nalo ilo neno lakini zaidi sana kwa hii fani yangu nataka sana kupata ujuzi Mzee yaani nahitaji sana hii kitukwenda NGO huwa wanakataa,wanatakaaga uende kwenye Regional au UN Agency,wanaamini huko ndiko utajifunza mengi ya maana ambayo ukirudi Serikalini utaongeza something new,but all in all Secondment ni kwenda kupata expose ya Mshahara mzuri tu
Mkuu, huku kwetu haya mambo yanafanyika lakini sio kwakiwango kikubwa kama taasisi fulani yaani unakuta taasisi fulani Zina software ambazo ni genuine na training nyingi ndani na nje ya inchi lakini katika maeneo yetu hakuna vitu kama hivyo yaani kwanza wengi waliokatika icho kitengo hata hawajasomea ila Wana ujuzi kwasababu wamefanyia kazi icho kitengo kwa muda mrefu lakini uko kwingine kwanza laazima usome kweli na wanakuendeleza kweli kweli yaaniI think njia bora zaidi ni kama taasisi iliyopo kwa sasa ina kitengo cha hayo mambo uliyosomea then wewe uwezo ku move kwenye hicho kitengo lakini bado ukiwa ndani ya taasisi hiyo hiyo unayofanyia kazi.
Na umesema upo kwenye chombo cha ulinzi nina uhakika kabisa lazima hicho kitengo kiwepo maana ndo dunia ndipo inapokwenda huko
Duh basi hapo ni changamoto mkuuMkuu, huku kwetu haya mambo yanafanyika lakini sio kwakiwango kikubwa kama taasisi fulani yaani unakuta taasisi fulani Zina software ambazo ni genuine na training nyingi ndani na nje ya inchi lakini katika maeneo yetu hakuna vitu kama hivyo yaani kwanza wengi waliokatika icho kitengo hata hawajasomea ila Wana ujuzi kwasababu wamefanyia kazi icho kitengo kwa muda mrefu lakini uko kwingine kwanza laazima usome kweli na wanakuendeleza kweli kweli yaani
nikweli lakini utaratibu kama nilivyoambiwa nikwamba inabidi niongee na taasisi ninayotaka kuhamia kwa huo mda ,then nikipata nafasi iyo ndio niandike barua kwenye taasisi Yangu kuomba nao waniruhusu lakini laazima kwanza niombe na nikubaliwe iyo nafasi katika taasisi ninayotaka kuhamia kwa huo mda wa secondmentHukohuko Kwenye Taasisi yako ndio wenye kuweza kupeleka mahali ambapo unaweza kutumika kwa maslahi ya hiyo Taasisi na Nchi
Shukrani kwa input mkuu.kwenda NGO huwa wanakataa,wanatakaaga uende kwenye Regional au UN Agency,wanaamini huko ndiko utajifunza mengi ya maana ambayo ukirudi Serikalini utaongeza something new,but all in all Secondment ni kwenda kupata expose ya Mshahara mzuri tu