M man well JF-Expert Member Joined Jul 7, 2017 Posts 270 Reaction score 180 Aug 2, 2017 #1 Habar wakuu,natanguliza shukran zangu kwenu wana jamvi.naomba kujuzwa maana ya nahau izi (1)kaa chonjo (2)kaa mkao wakula (3)omba radhi (4)piga mayowe . Sent using Jamii Forums mobile app
Habar wakuu,natanguliza shukran zangu kwenu wana jamvi.naomba kujuzwa maana ya nahau izi (1)kaa chonjo (2)kaa mkao wakula (3)omba radhi (4)piga mayowe . Sent using Jamii Forums mobile app
mind ur bussness JF-Expert Member Joined Dec 15, 2016 Posts 1,050 Reaction score 743 Aug 11, 2017 #2 1. Kuwa makini. 2. Kaa tayari, au uwe tayari . 3. Omba msamaha, kwa ulo mkosea 4. Paza sauti kwa nguvu inayoambatana na kelele eidha za shangwe au kuashiria hatari Sent using Jamii Forums mobile app
1. Kuwa makini. 2. Kaa tayari, au uwe tayari . 3. Omba msamaha, kwa ulo mkosea 4. Paza sauti kwa nguvu inayoambatana na kelele eidha za shangwe au kuashiria hatari Sent using Jamii Forums mobile app
M man well JF-Expert Member Joined Jul 7, 2017 Posts 270 Reaction score 180 Aug 12, 2017 Thread starter #3 mind ur bussness said: 1. Kuwa makini. 2. Kaa tayari, au uwe tayari . 3. Omba msamaha, kwa ulo mkosea 4. Paza sauti kwa nguvu inayoambatana na kelele eidha za shangwe au kuashiria hatari Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Asante mkuu kwa unyambulifu wako Sent using Jamii Forums mobile app
mind ur bussness said: 1. Kuwa makini. 2. Kaa tayari, au uwe tayari . 3. Omba msamaha, kwa ulo mkosea 4. Paza sauti kwa nguvu inayoambatana na kelele eidha za shangwe au kuashiria hatari Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Asante mkuu kwa unyambulifu wako Sent using Jamii Forums mobile app
el_magnefico JF-Expert Member Joined Nov 6, 2015 Posts 496 Reaction score 575 Aug 12, 2017 #4 Kaa chonjo maana yake kaa pembeni
Dahafrazeril JF-Expert Member Joined Jul 28, 2015 Posts 1,500 Reaction score 2,060 Aug 14, 2017 #5 Heshima Mkuu, man well . Pia unaweza kuitembelea hii tovuti NYAMBOGONANZILIMITI: NAHAU ZA KISWAHILI NA MAANA ZAKE [TRANSLATED SWAHILI SAYINGS]
Heshima Mkuu, man well . Pia unaweza kuitembelea hii tovuti NYAMBOGONANZILIMITI: NAHAU ZA KISWAHILI NA MAANA ZAKE [TRANSLATED SWAHILI SAYINGS]