Wajuzi wa device wakina chife mkwawa na wengine

Wajuzi wa device wakina chife mkwawa na wengine

Tish

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2014
Posts
360
Reaction score
209
Naomba kujua device ipi ya xiaomi yenye 32gb internal na 3gb ram inayo anzia kwenye laki 2 na nusu mpaka 3 na nusu pia iwe na kamera quality na battery inayokaa na charge
 
Kuna uzi upo humu mda mrefu unaongelea hizo device utafute utapata majibu ya maswali yako.
 
Back
Top Bottom