Valencia_UPV
JF-Expert Member
- Mar 31, 2016
- 7,682
- 9,529
Nitashangaa kama kuna Mjumbe atalia njaa baada ya hili zoezi. Nakumbuka 2020 KAWE ilikua ni mwendo wa Miamala kupitia simu za Wajumbe (hapo Wagombea wanakua na namba za simu za Wajumbe wote. Pesa inarushwa kupitia Wakala wa simu kwa kuzidiana Dau).