PreGE2025 Wajumbe wa Serikali ya Mtaa wa CCM watuhumiwa kuchukua majina ya waliojiandikisha kupiga Kura Oktoba 2025

PreGE2025 Wajumbe wa Serikali ya Mtaa wa CCM watuhumiwa kuchukua majina ya waliojiandikisha kupiga Kura Oktoba 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
4,393
Reaction score
14,499
Wakuu

Wajumbe wa Serikali ya Mtaa wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wanatuhumiwa kuchukua majina ya wananchi waliojiandikisha kupiga kura katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025, wakati wa zoezi la uboreshaji wa Daftari la Wapiga Kura linaloendelea nchi nzima.

Soma: Wakala wa CCM anayeandikisha majina kwenye kituo cha kupiga kura anapeleka wapi majina hayo? Ndio utaratibu wa Tume?

1742717921514.png
 
Chadema wapo busy na no reform no election badala ya kuweka mawakala wao vituoni.
 
Wakuu

Wajumbe wa Serikali ya Mtaa wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wanatuhumiwa kuchukua majina ya wananchi waliojiandikisha kupiga kura katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025, wakati wa zoezi la uboreshaji wa Daftari la Wapiga Kura linaloendelea nchi nzima.

Soma: Wakala wa CCM anayeandikisha majina kwenye kituo cha kupiga kura anapeleka wapi majina hayo? Ndio utaratibu wa Tume?

Kila chama kinafanya mambo kinachoona ni muhimu kwake.
CCM wanahakiki wapiga kura wao.
Chadema wanakataza wanachama wao kujiandaa kwa ajili ya uchaguzi maana hawatashiriki.
Kila chama kinafanya yaliyo muhimu kwa chama.
 
Hili jambo hakuna mwana CCM yeyote anayeweza kulitolea maelezo yalionyoka yakaeleweka.
Jina na Namba ya Kitambukisho cha kupigia kura ni vya nini!!??
Wana mamlaka hayo!!??
 
Back
Top Bottom