Utazipata, connection humu zipo tembelea jukwaa husika kulingana na issue unayohitaji kukonektiwaAah! Wapi. Mimi? Hapana. Just 'Connection'.
Na mimi nazamia katika hiyo Baraka Mkuu.enzi za magufuri liliibuka kundi flani lililokuwa na roho mbaya lilikuwa na kamsemo kake "pambana na hali yako"....lakini kwa huyu mama wa kizenji anaejitahidi kuwafuta machozi watumishi wa serikali pamoja na wengineo...nakuapia tegemea kupata bonge la connection kabla ya huu mwaka haujapinduka...
Nimeishakuunga tayariNa mimi nazamia katika hiyo Baraka Mkuu.
Kawaida Connection haiangalii wewe ni nani au unaweza kufanya nini... Zaidi inaangalia uhitaji wa mtoa connection and not exactly specific of a receiver.Ndugu yangu wewe unataka connection gani hasa kama nimbeba zege upate connection ya wabeba zege wenzio, kama nidalali upate connection za madalali wenzio
AMINA KUBWA SANA MTUMISHI.🙏🏽enzi za magufuri liliibuka kundi flani lililokuwa na roho mbaya lilikuwa na kamsemo kake "pambana na hali yako"....lakini kwa huyu mama wa kizenji anaejitahidi kuwafuta machozi watumishi wa serikali pamoja na wengineo...nakuapia tegemea kupata bonge la connection kabla ya huu mwaka haujapinduka...
Mambo kama haya sasa...