Hata kwenye maofisi now wakurugenzi au wakuu wa Idara wengi ni from huko huko,Kanda ya ziwa ndio imemtoa Rais wa JMT na mwenyekiti wa TAIFA wa CCM lakini wametoa wagombea wengi zaidi katika jumuiya mbili zenye nguvu ndani ya chama hicho yaani UWT na UVCCM ambao wote wanatajwa kuchuana vikali.
Kwa mara ya kwanza katika historia ya CCM nafasi zote hizi kubwa kutokea ukanda mmoja kama ikitokea hivyo basi mtiririko utakuwa:-
1. Mwenyekiti CCM TAIFA kanda ya ziwa
2. Mwenyekiti UWT TAIFA kanda ya ziwa kwani wagombea karibu wote ni kutoka kanda ya ziwa.
3. Mwenyekiti UVCCM TAIFA kanda ya ziwa kwani nako wagombea 4 kati ya 7 wanatoka kanda ya ziwa.
Ifahamike kwa mujibu wa katiba ya CCM wajumbe wote hawa ni wajumbe wa kikao cha kamati kuu, moja ya vikao vya juu kabisa vya CCM katika kufanya maamuzi mbalimbali.
Ikitokea hivyo maana yake uongozi wenye sura ya kitaifa haupo!
Wajumbe wanapaswa kutumia busara sana ili kuliepusha hili lisitokee kwani yatakuwa ya CHADEMA na ukaskazini.
Fikra Mpya
Haya mambo ya kanda ccm hatuna na hatuangaliani kwa kanda
Ukanda upo chadema 96% ya watu wenye maamuzi wanatoka kaskazini
Kanda ya Magu iko ndani ya Kanda ya ZiwaMnajuaje kwamba ni Kanda ya Ziwa na si Kanda ya Magufuli?
Kwani huko uvccm mnachagua Kanda au mtu?Kanda ya ziwa ndio imemtoa Rais wa JMT na mwenyekiti wa TAIFA wa CCM lakini wametoa wagombea wengi zaidi katika jumuiya mbili zenye nguvu ndani ya chama hicho yaani UWT na UVCCM ambao wote wanatajwa kuchuana vikali.
Kwa mara ya kwanza katika historia ya CCM nafasi zote hizi kubwa kutokea ukanda mmoja kama ikitokea hivyo basi mtiririko utakuwa:-
1. Mwenyekiti CCM TAIFA kanda ya ziwa
2. Mwenyekiti UWT TAIFA kanda ya ziwa kwani wagombea karibu wote ni kutoka kanda ya ziwa.
3. Mwenyekiti UVCCM TAIFA kanda ya ziwa kwani nako wagombea 4 kati ya 7 wanatoka kanda ya ziwa.
Ifahamike kwa mujibu wa katiba ya CCM wajumbe wote hawa ni wajumbe wa kikao cha kamati kuu, moja ya vikao vya juu kabisa vya CCM katika kufanya maamuzi mbalimbali.
Ikitokea hivyo maana yake uongozi wenye sura ya kitaifa haupo!
Wajumbe wanapaswa kutumia busara sana ili kuliepusha hili lisitokee kwani yatakuwa ya CHADEMA na ukaskazini.
Fikra Mpya
Kanda ya Magu iko ndani ya Kanda ya Ziwa
Mtoa mada halijui hilo.Awamu hii ya Kanda ya ziwaaaa
Ova
Hee! yaani we unataka watu wanyimwe fulsa ya kugombea kisa wanatoka eneo alilotoka MheshimiwaKanda ya ziwa ndio imemtoa Rais wa JMT na mwenyekiti wa TAIFA wa CCM lakini wametoa wagombea wengi zaidi katika jumuiya mbili zenye nguvu ndani ya chama hicho yaani UWT na UVCCM ambao wote wanatajwa kuchuana vikali
Kanda ya ziwa ndio imemtoa Rais wa JMT na mwenyekiti wa TAIFA wa CCM lakini wametoa wagombea wengi zaidi katika jumuiya mbili zenye nguvu ndani ya chama hicho yaani UWT na UVCCM ambao wote wanatajwa kuchuana vikali.
Kwa mara ya kwanza katika historia ya CCM nafasi zote hizi kubwa kutokea ukanda mmoja kama ikitokea hivyo basi mtiririko utakuwa:-
1. Mwenyekiti CCM TAIFA kanda ya ziwa
2. Mwenyekiti UWT TAIFA kanda ya ziwa kwani wagombea karibu wote ni kutoka kanda ya ziwa.
3. Mwenyekiti UVCCM TAIFA kanda ya ziwa kwani nako wagombea 4 kati ya 7 wanatoka kanda ya ziwa.
Ifahamike kwa mujibu wa katiba ya CCM wajumbe wote hawa ni wajumbe wa kikao cha kamati kuu, moja ya vikao vya juu kabisa vya CCM katika kufanya maamuzi mbalimbali.
Ikitokea hivyo maana yake uongozi wenye sura ya kitaifa haupo!
Wajumbe wanapaswa kutumia busara sana ili kuliepusha hili lisitokee kwani yatakuwa ya CHADEMA na ukaskazini.
Fikra Mpya
Una jicho la kibaguziKwa mara ya kwanza katika historia ya CCM nafasi zote hizi kubwa kutokea ukanda mmoja kama ikitokea hivyo basi mtiririko utakuwa:-
1. Mwenyekiti CCM TAIFA kanda ya ziwa
2. Mwenyekiti UWT TAIFA kanda ya ziwa kwani wagombea karibu wote ni kutoka kanda ya ziwa.
3. Mwenyekiti UVCCM TAIFA kanda ya ziwa kwani nako wagombea 4 kati ya 7 wanatoka kanda ya ziwa.
Mlevi sana huyo na mzinziSijaona la maana kwenye post yako. Nyakati hizi si za kuwaza ukabila bali uwezo na ubunifu wa kiongozi haijalishi anatoka ukanda upi as long ni mtanzania. Tunataka mabadiliko chanya, Twende na Mathias Simon Kipala!