Mmeletewa wagombea takribani 7 lakini kwa upeo wangu mnapaswa kuzingatia mambo kadhaa kabla ya kuamua:-
1. Mchagueni mgombea anayeijua jumuiya
2. Mchagueni mgombea mwenye uwezo wa kuwasemea ninyi na vijana wengine wa Tanzania
3. Mchagueni mgombea anayekidhi matakwa ya kisiasa kwa sasa kwa maana mwenye uwezo mkubwa wa kisiasa hususani public speaking au uwezo mzuri wa kuzungumza kwa hoja za ushawishi
4. Mchagueni mgombea anayependa haki na ukweli, pia awe jasiri wa kuimamia haki na ukweli kwa gharama yoyote
5. Mchagueni mgombea atakayeiunganisha jumuiya na kuifanya iwe tumaini kwa vijana na ikipe chama jeuri na matumaini kuelekea chaguzi au kukabili misukosuko ya kisiasa
Kwa mtazamo wangu namuona Kheri Denis James kuwa anatosha kwa sasa kutuvusha 2017-2022. Naomba mtupatie anakidhi sifa hizo nilizoainisha.