Sasa Mfumo Dume unashida gani? Mfumo huu ni muhimu sana, fikiria viungo vinavyo tengeneza mfumo huu, kama Kende na Uume vilivyo muhimu katika mwili wa mwanadamu. Msidharau mfumo huu jamani!!Mfumo dume una uhusiano mkubwa sana na ufisadi. Fuatilia ya Kenya, Tanzania na Nigeria. Tusipate woga wala hofu kuwashirikisha wanawake madaraka makubwa.
It has nothing to do with my name !but in a way I have to agree with u that mine was a pointless observation, was acting fool ! idiot of me! I am real sorry and apologizing!Jina lako linasema yote. Na basi tukiwa na watu wenye mawazo namna hii Kuongoza nchi watatatupa shida. This is very antwomen. Fikira Waziri Mkuu Mikel wa Ujerumani, Hillary Clinton, Golda Mayer- Israel, Indira Gadhi, Belisuda wa ICC, Sukyi, Katibu wa AU, Esta Bulaya, S.Suluhu, Makinda, Halima Mdee nk. Wewe unaingia kwa % kwa hao? Probably a fraction, hardly 00.0001% and insignificant.
Michelle I am real sorry and I am taking back my comment, regrettable I was trying to amusing myself not serious with the comment ,wanted to have fun I didn't mean it ,that is not me,the picture u see is not my true color I am a caring husband and a father to a beautiful daughter and have no problem with gender issues!nisamehewe tu na niombee msmaha kwa Ambiente Guru na kila aliyekwazwa na comment yangu .nitaomab radhi hata mara elfu kama mtu hato comment msamaha kwangu !please!Asante sana kwa kumpa mifano yote anayohitaji kama ni wa kuelewa kitu. Tunarudishana nyuma na kauli na mawazo kama yake. Ndio atakuwa baba na atakuwa na mtoto wa kike na mzazi kama huyu akawa kikwazo cha mafanikio. Ukatili wakijinsia uko hata kati ya wazazi na binti zao.
Dah, kweli wewe ni Muungwana, kwa kuomba radhi umedhihirisha uungwana wako!!Michelle I am real sorry and I am taking back my comment, regrettable I was trying to amusing myself not serious with the comment ,wanted to have fun I didn't mean it ,that is not me,the picture u see is not my true color I am a caring husband and a father to a beautiful daughter and have no problem with gender issues!nisamehewe tu na niombee msmaha kwa Ambiente Guru na kila aliyekwazwa na comment yangu .nitaomab radhi hata mara elfu kama mtu hato comment msamaha kwangu !please!
Michelle I am real sorry and I am taking back my comment, regrettable I was trying to amusing myself not serious with the comment ,wanted to have fun I didn't mean it ,that is not me,the picture u see is not my true color I am a caring husband and a father to a beautiful daughter and have no problem with gender issues!nisamehewe tu na niombee msmaha kwa Ambiente Guru na kila aliyekwazwa na comment yangu .nitaomab radhi hata mara elfu kama mtu hato comment msamaha kwangu !please!
Ufisadi katika mashirika na taasisi za umma utapunguzwa kwa kiwango kikubwa pale tu asilimia kubwa ya wajumbe itafanywa na wanawake. Hili pia litaimarisha usawa wa jinsia.
Nchi kama Norway wanafanya hivyo na wamefanikiwa sana. Wanawake wanaweza. Naomba Mhesh Rais aanze na Bodi kama za Mamlaka ya Hifadhi Ngorongoro, TANESCO, TANAPA, TRA, TPA , Mifuko ya Hifadhi ya Jamii nk
Thanks for ur understanding !now I can have my lunch with a piece of mind! thanking you again and have a good day!Nimefurahi kusikia wewe ni mume na baba mzuri kwa binti yako. Yamepita hayo mengine Ali.
Ambiente Guru atakuwa ameelewa kabisa.
Cheers Michelle and Ally.Lets defend the truth and the only truth. wmen have special place in our society. Kuna wadada walikuwa wananizidi maksi darasani.Thanks for ur understanding !now I can have my lunch with a piece of mind! thanking you again and have a good day!
Hivi hao wanawake wa Norway ndiyo wanafanana na kina Tibaijuka na Mama Mkapa.