Ambiente Guru
JF-Expert Member
- May 21, 2012
- 2,623
- 1,096
- Thread starter
-
- #21
na sio waziri kuteuwa anaowataka.
M ininahofu na maamuzi yao wakiwakatika zile hali zao! so moody!wapunguzwe!
acha uwongo si kweli bodi ya TANAPA mara nyingi wanafanya arusha na TANAPA ni shrka ambalo linajiendesha kwa faida na kuipa serkali ruzuku hivyo usiishangae mkurugenzi wa TANAPA kusafri patner wa TANAPA Ni watalii unafkri utakaa ofsni mtalii aje pia mkurugenzi wa TANAPA kila sku anaonekana kwenye TV akiwa anazfungua miradi maporini... TANAPA si TRL au TANESCO ambao wanajiendesha kwa hasara naona watu wengi wana negative attitude na TANAPA..NGORONGORO..PPF ..NSSF wakat ni mashrka yanayoipa serkali fedha za kulipa mishahara wafanyakaz wa halmashaur..mawzara...kujenga miundombinu kama daraja la kigamboni ...hosptali usisahau kua TANAPA wanajenga mashule na hosptali bure kwa jamii znazopakana na hifadhi zao....no research no comentWajumbe wa bodi TANAPA vikao vyao vyote wanafanyia Ulaya,,,jk aliiharibu sana hii nchi... Mkurugenzi wa TANAPA kila siku yupo Ulaya
Asante sana kwa kumpa mifano yote anayohitaji kama ni wa kuelewa kitu. Tunarudishana nyuma na kauli na mawazo kama yake. Ndio atakuwa baba na atakuwa na mtoto wa kike na mzazi kama huyu akawa kikwazo cha mafanikio. Ukatili wakijinsia uko hata kati ya wazazi na binti zao.Jina lako linasema yote. Na basi tukiwa na watu wenye mawazo namna hii Kuongoza nchi watatatupa shida. This is very antwomen. Fikira Waziri Mkuu Mikel wa Ujerumani, Hillary Clinton, Golda Mayer- Israel, Indira Gadhi, Belisuda wa ICC, Sukyi, Katibu wa AU, Esta Bulaya, S.Suluhu, Makinda, Halima Mdee nk. Wewe unaingia kwa % kwa hao? Probably a fraction, hardly 00.0001% and insignificant.
+ Prof. Anna Kamjumulo Tibaijuka
Jina lako linasema yote. Na basi tukiwa na watu wenye mawazo namna hii Kuongoza nchi watatatupa shida. This is very antwomen. Fikira Waziri Mkuu Mikel wa Ujerumani, Hillary Clinton, Golda Mayer- Israel, Indira Gadhi, Belisuda wa ICC, Sukyi, Katibu wa AU, Esta Bulaya, S.Suluhu, Makinda, Halima Mdee nk. Wewe unaingia kwa % kwa hao? Probably a fraction, hardly 00.0001% and insignificant.
Siyo mleta mada anawaombea lakini ukweli una dhibiti katika Bunge viti maalum pale kwa kuwa wanavipata kiushkaji Tusitegemee Tija yo yote.Hali kadhalika katika hiziBODI tunavyofikria wawemo Ni wamama wachche wanaoweza kufanya kile Taifa linavyowategemea .Tatizo lao ni matambo na kudharauliani mfano mchakato wa Dr.TULIA
Sio kila kitu kinafaa kuigwaUfisadi katika mashirika na taasisi za umma utapunguzwa kwa kiwango kikubwa pale tu asilimia kubwa ya wajumbe itafanywa na wanawake. Hili pia litaimarisha usawa wa jinsia.
Nchi kama Norway wanafanya hivyo na wamefanikiwa sana. Wanawake wanaweza. Naomba Mhesh Rais aanze na Bodi kama za Mamlaka ya Hifadhi Ngorongoro, TANESCO, TANAPA, TRA, TPA , Mifuko ya Hifadhi ya Jamii nk
Sikubaliani na wewe hata kidogoUfisadi katika mashirika na taasisi za umma utapunguzwa kwa kiwango kikubwa pale tu asilimia kubwa ya wajumbe itafanywa na wanawake. Hili pia litaimarisha usawa wa jinsia.
Nchi kama Norway wanafanya hivyo na wamefanikiwa sana. Wanawake wanaweza. Naomba Mhesh Rais aanze na Bodi kama za Mamlaka ya Hifadhi Ngorongoro, TANESCO, TANAPA, TRA, TPA , Mifuko ya Hifadhi ya Jamii nk
Hela ya mboga ya tibaijuka, kwani wakati anasema hivyo alikuwa mwanaume.
....
Good listing. Lakini tunawahitaji wanawake wanaojimudu na sio kujazilishia post eti tu kwa sababu tunataka kuudhihirishia ulimwengu kuwa tunajali.
Simuungi mkono huyo mpuuzi alichokisema lakini nasisitiza kuwa ipo tofauti kubwa kati Magret Thatcher na mbunge wa vitu maalum wa CCM. Uanamke usiwe agenda, agenda iwe kiongozi bora.
Rundo la wamama waliofika bungeni kwa hisani haliwasaidii wanawake wala wanaume, sanasana wanaishia kutumika kupitisha maamuzi mabovu. Vigezo vikikaa mlingano, mwanamke na apite lkn sio wazo la kipuuzi la mtoa mada
Mfumo dume una uhusiano mkubwa sana na ufisadi. Fuatilia ya Kenya, Tanzania na Nigeria. Tusipate woga wala hofu kuwashirikisha wanawake madaraka makubwa.Uanamke usiwe agenda,agenda iwe kiongozi bora. Umesema vizuri sana.Kama wanawake hawapo wenye vigezo vya uongozi wengi basi waandaliwe. Na utaratibu wa kuwapata urekebishwe. Kwa vile umegusia mbunge wa viti maalum wa CCM, tukitoka nje ya mada kidogo, hata hao wabunge wanaume walio wengi wamefanya nini sana? Tuna tatizo la kitaifa,labda wenye vigezo hawagombei so wanaongozwa na wasio na vigezo ila wana ujasiri na muda wa kugombea. Kuna shida zaidi ya jinsia nchi hii. Kuna msemo wa Kim Hubbard "We'd all like to vote for the best man but he's never a candidate."
+ Prof. Anna Kamjumulo Tibaijuka