Ambiente Guru
JF-Expert Member
- May 21, 2012
- 2,623
- 1,096
Ufisadi katika mashirika na taasisi za umma utapunguzwa kwa kiwango kikubwa pale tu asilimia kubwa ya wajumbe itafanywa na wanawake. Hili pia litaimarisha usawa wa jinsia.
Nchi kama Norway wanafanya hivyo na wamefanikiwa sana. Wanawake wanaweza. Naomba Mhesh Raisi aanze na Bodi kama za Mamlaka ya Hifadhi Ngorongoro, TANESCO, TANAPA, TRA, TPA , Mifuko ya Hifadhi ya Jamii nk
+ Prof. Anna Kamjumulo TibaijukaWanawake wenyewe ni hawa akina Blandina Nyoni!!?
Hahahahaaa unanikumbusha akina Mama Anna mkapa na kina Salma Kikwete! Ufisadi hauna jinsia mkuu wangu
Ufisadi katika mashirika na taasisi za umma utapunguzwa kwa kiwango kikubwa pale tu asilimia kubwa ya wajumbe itafanywa na wanawake. Hili pia litaimarisha usawa wa jinsia.
Nchi kama Norway wanafanya hivyo na wamefanikiwa sana. Wanawake wanaweza. Naomba Mhesh Raisi aanze na Bodi kama za Mamlaka ya Hifadhi Ngorongoro, TANESCO, TANAPA, TRA, TPA , Mifuko ya Hifadhi ya Jamii nk
Wanawake wenyewe ni hawa akina Blandina Nyoni!!?
M ininahofu na maamuzi yao wakiwakatika zile hali zao! so moody!wapunguzwe!
Hawa ambao VITENGE na BUKU 2 ziliwatosha kwenye uchaguzi ndo-tuwaamini ?!