Wajulishe na wenzako

Doctor Sebas

Member
Jul 19, 2017
30
125
KWA NINI KIHARUSI MARA NYINGI HUTOKEA
BAFUNI AU CHOONI.

*Nawashauri watu msioshe kichwa na nywele mwanzo mnapo anza kuoga! Ni makosa makubwa haya, hii inasababisha kubadilisha hali ya ujoto katika mwili wako haraka sana (na miili yetu ina Damu ya moto) na hivi kufanya mishipa ya Damu* inayopeleka kwenye ubongo kuchanika na kupasuka na inahatarisha kwa binaadamu kupata kiharusi kwa haraka sana.

*Njia ya kweli ya mtu* kuoga ni kuanza kutia maji katika mwili au miguu kwanza kabla ya kichwa ili kuweza kuupa mwili uzowefu na kufanya usawa katika ujoto wa Damu.

*Sambaza kwa wote* uwapendao ili InshaAllah kunusurisha binaadamu kwa maradhi haya mabaya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
godimpare

JF-Expert Member
Feb 10, 2014
2,820
2,000
Umeongea vyema na hiyo ndo ilikua kuoga kwangu ya kila siku sababu ya kuogopa Yale maji ya mwanzo naanza miguuni tena nafanya kama najipaka mpaka maji yanizoee ndo naendelea na zoezi
 
sinajinasasa

JF-Expert Member
Dec 10, 2013
2,286
2,000
KWA NINI KIHARUSI MARA NYINGI HUTOKEA
BAFUNI AU CHOONI.

*Nawashauri watu msioshe kichwa na nywele mwanzo mnapo anza kuoga! Ni makosa makubwa haya, hii inasababisha kubadilisha hali ya ujoto katika mwili wako haraka sana (na miili yetu ina Damu ya moto) na hivi kufanya mishipa ya Damu* inayopeleka kwenye ubongo kuchanika na kupasuka na inahatarisha kwa binaadamu kupata kiharusi kwa haraka sana.

*Njia ya kweli ya mtu* kuoga ni kuanza kutia maji katika mwili au miguu kwanza kabla ya kichwa ili kuweza kuupa mwili uzowefu na kufanya usawa katika ujoto wa Damu.

*Sambaza kwa wote* uwapendao ili InshaAllah kunusurisha binaadamu kwa maradhi haya mabaya.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa mkuu huu utaratibu wa kuoga unaanzia umri gani, maana kwa umri wangu mimi kila nnapotaka kuoga lazima nianze kujimwagia kwa kopo kichwani ndo niendelee, ili kuondoa baridi, la sivyo baridi hii naweza ahirisha kuoga.
 
Kaveli

JF-Expert Member
Dec 4, 2012
3,872
2,000
@dr sebas, ahsante kwa Elimu hiyo muhimu sana kwa maisha yetu.
Je, does it apply likewise kwa kuoga maji ya moto?

-Kaveli-
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom