Una maanisha upumbavu huu wa wanaoitwa wanawake unasababishwa na wanaume au sio mkuu??Mwanamme mpumbavu ni Yule anayezini na mwanamke Huku akijua Ana mkewe,
Mwanaume mpumbavu ni Yule anayezini bila Kinga halafu mimba ikitungwa anaikana na kushauri itolewe Kwa kutoa sababu kwamba hahitaji mtoto
Usijal. Ukikua kua utaanza tu kijitambua.
Nikue niende wapi na nimeshazeekaUsijal. Ukikua kua utaanza tu kijitambua.
Sasa mkuu akikaa kimya humu ndan kila mtu si patapoa sana?Mwanaume m bovu ni yule ambae ana kazi yaku criticize wanawake nakuongea shamelessly akijiona yeye ndo yupo sawa..
Sisi wote nibinadam kila moja na mtizamo wake it's better to keep that to yourself kwasabu aibadili kitu zaidi zaidi utaonekana umekosa kazi ya kufanya
Unaweza kukua kuelekea huku kwangu nilipo mm kama hujui ukue uende wap.
Ofcz n congrats for dat.Maneno yangu sio sheria nimetoa mtizamo tu kama wewe ulivotoa
SawaUnaweza kukua kuelekea huku kwangu nilipo mm kama hujui ukue uende wap.
Vice Versa is true.Mwanamme mpumbavu ni Yule anayezini na mwanamke Huku akijua Ana mkewe,
Mwanaume mpumbavu ni Yule anayezini bila Kinga halafu mimba ikitungwa anaikana na kushauri itolewe Kwa kutoa sababu kwamba hahitaji mtoto