englibertm
JF-Expert Member
- May 1, 2009
- 9,252
- 6,209
1. Hujifanya yupo tayari kukfanyia lolote hata liwe nje ya uwezo. Hapo b4 hujampa mwili wako.
2. Mwanzoni mkiwa mnawasiliana anajidai hapend ngono na hana haraka nayo.
3. Bingwa wa kukutambulisha kwa rafiki zake. Hao ameshawambia mapema kuhusu wewe hvyo watamfichia siri.
4. Bingwa wa kuzisifia sehemu zako nyeti mfano. Una kifua kizuri, upo sexy baby.
5. Mkizoeana kdogo anaanza mtindo wa 'phone sex' . Hii huwa inawapagawisha kweli wasichana.
6. Asubuh na mapema ana2ma vocha. Ukishamvulia chu* sahau kuhusu hzo ofa.
7. Anajidai mkweli anakwambia kila ki2 hata kama hujamuuliza.
8. Hawakawii kujitangaza eti wametakwa kimapenzi na msichana flani. 'ah! Bby kile kisichana kinanitaka mi ctaki'
9. Kila unalosema anafanya. Ukitaka aje anakuja, ukitaka vocha unapata. Unaweza kudhani ----- kumbe anakulia time uingie mtegoni afyatue.
10. Wana ahadi tamu zisizotekelezeka. Hawachelewi kujidai wapo tayari kufa kwa ajili yako.
11. Ni mahiri katka kuwasema wenzao kuwa wana tabia mbaya. Wao wanajidai wasafi.
12. Mara nying wanafunga cm zao kwa pasword. Hufungui kizembezembe!