Jackwillpower
JF-Expert Member
- Oct 4, 2017
- 2,539
- 3,860
ndioMkuu uzi umeishia hapo kweli?
Kwahiyo Mungu alitaka wafilisti wafe wote kama wahutu walivyotaka watutsi wafe wote
1. Yaani MUNGU alitaka wapalestina wafe wote ili Israel akae kwa raha mustarehe?
2.Je MUNGU wa UPENDO ndo huyo huyo ?
NB: Imani ni jambo gumu
Agano la Kale linaonyesha kwamba Wafilisti waliabudu miungu mitatu: Ashtorethi, Dagoni, na Baal-Zebubu-kila mmoja alikuwa na madhabahu katika miji mbalimbali (Waamuzi 16:23, 1 Samweli 31:10; 2 Wafalme 1:2). Matokeo ya akiolojia yanaonyesha kuwa askari wa Wafilisti walibeba sanamu za miungu yao katika vita (2 Samweli 5:21). Inaonekana, pia walikuwa watu washirikinaKwa hyo Mungu aliagiza binadamu aue binadamu mwenzake ...
Dah bas Kaz ipo
Vp kuhusu AMRI YA 5 ya Mungu kea hyo anapingana na Amri zake ambayo anatuambia USIUE
Kwahiyo Mungu alitaka wafilisti wafe wote kama wahutu walivyotaka watutsi wafe wote
1. Yaani MUNGU alitaka wapalestina wafe wote ili Israel akae kwa raha mustarehe?
2.Je MUNGU wa UPENDO ndo huyo huyo ?
NB: Imani ni jambo gumu
Ni kwamba mwanzoni, tunapaswa kuzingatia asili ya Mungu. Yeye ni Bwana aliye huru na ana haki kamili ya kutumia nguvu zake kwa njia yoyote atakayochagua. Yeye ndiye Muumba wa vitu vyote; kwa hivyo, ana haki kamili ya umiliki juu ya kila kitu. Ni hamu ya Mungu, na kusudi la Israeli kurithi nchi ya Kanaani. Mungu, ana haki za Muumba. Ni nani awezaye kumwambia, "Kwa nini umenifanya hivi? Je! Unafanya nini? Unafanya nini?"Kwa hyo Mungu aliagiza binadamu aue binadamu mwenzake ...
Dah bas Kaz ipo
Vp kuhusu AMRI YA 5 ya Mungu kea hyo anapingana na Amri zake ambayo anatuambia USIUE
Yeah Mungu alitaka ibada yake isichafuliwe na ibada ya Baali. Kama alivyoeleza mwenye uzi Israel iliagizwa kuuwa watu wote lakini hawakutii mwisho wa siku Mungu akawaambia kama mmewaacha watakuwa mwiba katika mbavu zenu.(unajua mwiba ulivyo) ndio mpaka leo1. Yaani MUNGU alitaka wapalestina wafe wote ili Israel akae kwa raha mustarehe?
2.Je MUNGU wa UPENDO ndo huyo huyo ?
NB: Imani ni jambo gumu
Tena katika habari ya Wayebusi, hao wenye kukaa Yerusalemu,wanao uzunguka mlima sayuni huitwa milima ya Yuda mpaka leo.Wayebusi nchi yao inaitwaje leo?
Wayebusi waliuliwa wote na Daudi pale Yerusalemu ndio maana mpaka leo hawapoWayebusi nchi yao inaitwaje leo?
kwa hiyo ndugu huyo Mungu muweza wa yote alishindwaje kuwabadilisha hao makabila washenzi ili waifute njia njema?Ni kwamba mwanzoni, tunapaswa kuzingatia asili ya Mungu. Yeye ni Bwana aliye huru na ana haki kamili ya kutumia nguvu zake kwa njia yoyote atakayochagua. Yeye ndiye Muumba wa vitu vyote; kwa hivyo, ana haki kamili ya umiliki juu ya kila kitu. Ni hamu ya Mungu, na kusudi la Israeli kurithi nchi ya Kanaani. Mungu, ana haki za Muumba. Ni nani awezaye kumwambia, "Kwa nini umenifanya hivi? Je! Unafanya nini? Unafanya nini?"
Pili, Wakanaani hawakuwa watu wasio na hatia kwa njia yoyote ile waliposimama mbele za Mungu na Israeli. Je! Wakanaani walikuwa watu wa amani, waadilifu, na wanyofu?
Hiyo sivyo ilivyo. Wakati Mungu alimuahidi Abrahamu kwamba uzao wake utarithi nchi ya Kanaani, alisema haitafanyika hadi kizazi cha nne baada ya Ibrahimu kwa sababu uovu wa Waamori bado haujakamilika.
Walifanya mambo kama dhabihu ya watoto, uchumba, uasherati, ukahaba wa hekaluni, na matendo mengine mabaya.
Wakanaani, walikuwa wamemkataa Mungu na sheria yake. Kulikuwa na mashahidi katika nchi hiyo kwa Wakanaani: Ibrahimu, Isaka, Yakobo, na familia zao. Walikuwa watu waliomfuata Bwana. hawakuwa wasio na hatia; Wakanaani walikuwa wamefilisika kimaadili na hawawezi kubadilika katika uovu wao.
Israeli walikuwa watu waliochaguliwa na Mungu, haki ya Bwana ilitumika kwao kama inavyotumika kwa mataifa mengine. Haki ya Mungu haionyeshi upendeleo. Katika Kumbukumbu la Torati 20:18, Bwana aliwaambia Israeli kuwa moja ya sababu za msingi kwamba jeshi lake lilikuwa kuangamiza mataifa mengi mbele yao ni ili wasiwafundishe kufanya kulingana na tabia zao zote za kuchukiza ambazo wamezifanyia miungu yao. na kuwafanya wamtendee dhambi Bwana.
Kaka Mungu sio mjinga kama binadamu, Mungu haangalii sura anaangalia ndani ya moyo. Mpaka afanye maamuzi hayo alishaona mioyo yao sio ya kubadilika.kwa hiyo ndugu huyo Mungu muweza wa yote alishindwaje kuwabadilisha hao makabila washenzi ili waifute njia njema?
Kwanini alishindwaje kuwapiga mkwara kwa ishara kuu ili wabadilike Kama walikua hawaamini katika Mungu YHW
Kwa ishara kuu kabisa ilitosha kuwabadilisha hao watu waachane na miungu wengine hapo wa kulaumiwa Nani Kati ya kutokujua kwao na huyo Mungu?
Nauliza tu mkuu!
Nahisi hivo hivo Ila tu Kama mungu hakuwaumba na hawapendi kabisa,....Kwan wafilist walimkosea Nini mungu kiasi Cha mungu kuagiza wauawe na wasiwepo kabisa?, Hizi hadithi za watu flan kujimegea priority zinanikera Sana , Mara sijui jackob alipendwa na mamaake kiasi baraka zikaibwa , Mara sijui alinunua baraka za uzao wa kwanza kwa mkate kakaake aalipokuwa na njaa (manake alikuwa mkaa nyumbani na ni mchoyo hata kwa Kaka kumuuzia chakula na anapendwa na mama) , yaan sielew elew mrad tu kujimegea shavu, hivi mungu wa Israel hawahusu parestina?, Vipi kuhusu sisi tusio waisrael Wala waparestina?....sizan Kama mungu ni mbaguzi, IKwahiyo Mungu alitaka wafilisti wafe wote kama wahutu walivyotaka watutsi wafe wote
MUNGU SIO DIKTETA AKULAZIMISHE UMUABUDU KINGUVUkwa hiyo ndugu huyo Mungu muweza wa yote alishindwaje kuwabadilisha hao makabila washenzi ili waifute njia njema?
Kwanini alishindwaje kuwapiga mkwara kwa ishara kuu ili wabadilike Kama walikua hawaamini katika Mungu YHW
Kwa ishara kuu kabisa ilitosha kuwabadilisha hao watu waachane na miungu wengine hapo wa kulaumiwa Nani Kati ya kutokujua kwao na huyo Mungu?
Nauliza tu mkuu!
Alikua na kusudi lake,ila kwa sasa kashatoa pazia lile la kutenganisha binadamu. Kwa sasa kila mtu anafuata sheria zake anakubalika nayeNahisi hivo hivo Ila tu Kama mungu hakuwaumba na hawapendi kabisa,....Kwan wafilist walimkosea Nini mungu kiasi Cha mungu kuagiza wauawe na wasiwepo kabisa?, Hizi hadithi za watu flan kujimegea priority zinanikera Sana , Mara sijui jackob alipendwa na mamaake kiasi baraka zikaibwa , Mara sijui alinunua baraka za uzao wa kwanza kwa mkate kakaake aalipokuwa na njaa (manake alikuwa mkaa nyumbani na ni mchoyo hata kwa Kaka kumuuzia chakula na anapendwa na mama) , yaan sielew elew mrad tu kujimegea shavu, hivi mungu wa Israel hawahusu parestina?, Vipi kuhusu sisi tusio waisrael Wala waparestina?....sizan Kama mungu ni mbaguzi, I