Wajue Mawaziri 4 viporo

Hawamu hii Waziri WA Elimu lazima awe Proff......So ni swala la kuangalia katika bunge kuna ma proffesa wangapi ambao hawajapata wizara........then jibu la wizara hiyo litakuwa limepatikana.Ni mawazo Tu.....
 

Hii list yako hasa tatu na nne lazima wee jamaa unapiga sana ugoro!
 

Yaani nagu kabisa hivi unaakili kichwani ww mijitu tumeisikia Tangu tunasoma na haijafanya kitu wewe unafikiri irudi toa upuuzi wako hapa paka ww
 
Dr Kimei wa CRDB anafaa wizara ya fedha ila kwa kuwa ni mchagga kutoka kaskazini hawezi kuteuliwa. Kaskazini tumetengwa!!!
 
Kama baraza la mawazi kwa serekali ya tanganyika basi hao wanafaa,kama ni la muungano basi vigezo na mashart lazima vizingatiwe.
 
Chief Financial Officer ( CFO ) wa NMB PLC ndugu Waziri Barnabas atakuwa msaada kwa Mhe Magufuli kama waziri wa Fedha na Mipango. Ateuliwe kama mbunge na apewe uwaziri wa Fedha na mipango.
 

Ridhiwani Kikwete no4.
 
Ooops,ELIMU,ELIMU,ELIMU,ELIMU.

Hivi kwa mfano, Mimi najiamini nikikabidhiwa wizara ya elimu ntaleta positive impact kwenye sector nyingi kwa vile elimu ni kiungo, je nawezaje kuomba interview na mheshimiwa rais?
 
Hapo umepatia wizara moja tu ya Fedha na mipango lakini membe wala nagu ni shiiiiiida
 

Narudia tena "Elimu, Elimu, Elimu"
 
Nagu - hivi hajatajwa kuwa katika kundi la mafisadi wa elimu? Halafu umkabidhi elimu. Mkuu unatutia wasiwasi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…