Wajue majasusi nguli kuwahi kutokea duniani

Wajue majasusi nguli kuwahi kutokea duniani

Hii miaka ya 1940 hawa majasusi wetu wa kitanganyika walikuwa wapi?
 
SIJAMWONA CARL PETERS
Muone huyu hapa
images%20(25).jpg
 
Umemisahau Jasusi mmoja Bora kabisa kuwahi kutokea, si mwingine ni Eli Cohen, Myahudi, aliyefanya kazi na taasisi ya kijasusi ya Israel (Mossad). He was one of the finest agent of all time, he had a sharp memory, Kwa lugha nyingine alikua na photographic memory.
Jamaa alikua akirekodi matukio na mambo mbalimbali katika shughuli zake za kijasusi kichwani pasipo kusahau au kuacha chochote au kufanya chembe ya kosa lolote, na baadae kuandika/kunakiri taarifa ya mambo yote aliyoyaona baada ya kupata wasaa wa kufanya hivyo.

Mkuu pia Msome Tony Mendez wa CIA
 
Back
Top Bottom