Historia nzuri lakini nahisi umeiandika kwa kuruka ruka na kuacha mambo mengi muhimu.
Nnakushauri pitia hapa uipate kiundani kidogo na uirekebishe na kuitia nyama za kutosha ili iwe na uhondo zaidi.
Munich massacre - Wikipedia, the free encyclopedia
Mambo ya MCC mbona big deal?Rare situation, thanks for sharing Bi. Faizafoxy, sharing is caring🙄🙄
Kidogo imenisahaulisha mambo ya MCC🙁
FaizaFoxy bwana kila kitu unajua!! Hongera sasa naomba uniletee na ile ya mateka wanafunzi watoto wa Urusi pale walipotekwa na magaidi wenye asili ya Chechnya yalipoizungushia shule nzima mabomu sitaki nigusie MCC na msaada wao maana magamba wenzako ndo wamekuwa wasemaji wakuu hapa jamiiforum. Saluti kwako sister.Historia nzuri lakini nahisi umeiandika kwa kuruka ruka na kuacha mambo mengi muhimu.
Nnakushauri pitia hapa uipate kiundani kidogo na uirekebishe na kuitia nyama za kutosha ili iwe na uhondo zaidi.
Munich massacre - Wikipedia, the free encyclopedia
FaizaFoxy bwana kila kitu unajua!! Hongera sasa naomba uniletee na ile ya mateka wanafunzi watoto wa Urusi pale walipotekwa na magaidi wenye asili ya Chechnya yalipoizungushia shule nzima mabomu sitaki nigusie MCC na msaada wao maana magamba wenzako ndo wamekuwa wasemaji wakuu hapa jamiiforum. Saluti kwako sister.

Kwi kwi kwi kwi kwi!! Ushaanza mabifu yako haya niletee ya KibwetereKwanini usianze kukuletea ya Jim Jones na Kibwetere.
Naam, kuna mengi sana nnayajuwa ambayo wewe hata kuyafikiria hujawahi.
ha ha ha,nawewe kumbe ni shabiki..MOSSAD WALIWATAFUTA MMOJA BAADA YA MWINGINE WAKAWAUA KAMA KUKU KIMYA KIMYA CHEZEA MOSSAD WEWE
Faizafoxy ni bright ila huwa anajitia uchizi tu😡😡, tunamuombea siku akija kufungua jicho la tatu basi tutakuwa na social network whistle blower mzuri tu.
Nimeanza kumuelewa hata mimi siku hizi ila tatizo udini umemjaa.namsubiri ntakuja kumuuliza huko mbele anachukuliaje teuzi mbalimbali zinazofanywa na Magufuri zipo sawa naona wakati wa Jk alikuwa akitetea sana mlengo wake kuteuliwa wengi
Hata hii topic itaingiliwa tu maana ina chembechembe za udini ndani yake. Wafia dini wakija hapa topiki itaharibika.haya ndo ma topic ninayoyapenda lakn sio ule upuuzi unaendelea kule jukwaa la siasa. arrghhh
= Magufuli
Hunter hunted huhha ha ha,nawewe kumbe ni shabiki..
Anyway hilo tukio wala sio kubwa kivile wala halilingani na matukio yanayofanyika leo,ila kwakua israel wanatafuta ujiko ndo wameifanya kuwa tukio la ushujaa mno ili kujikweza.
Ukweli ni kuwa ishu ya kuwatrackdown walioplan tukio la munich ilibidi liwe aborted baada ya mwindaji kuanza kuwindwa pia.
Mossad wali CUT AND RUN.....