Wajinga ndio waliwao

Goliath mfalamagoha

JF-Expert Member
Aug 3, 2012
593
1,000
Katika ulimwengu huu wa soka duniani hakuna viongozi wenye akili kama viongozi wa simba, kwanza walivyokosa ubingwa wa V.P.L wakajifanya kuzuga kwa kukataa kuvaa medali za mshindi wa pili wakawadanga wapenzi wao kuwa tuna rufaa FiFa ubingwa wa V.P.L niwa simba s.c baadhi ya wanachama mambumbumbu wakawa wanashangilia wakasahau kuwa fifa hawawezi kufanya maamuzi yoyote bila kurudi chama cha soka nchi husika,

Viongozi wa simba walichofanya sasa ili kuwasaulisha wapenzi wao na wasikumbuke tena maswala ya FiFa na wasijadili walikosa vipi ubingwa wakati waliongoza ligi kwa kipindi kirefu na ilifikia hata hatua ya kuongoza ligi kwa tofauti ya pont 8 wakahamia kufanya usajili wa mbwembwe ili wanachama wao washangilie wachezaji wanaokuja bila kujiuliza hawa kweli ni wachezaji kweli wakuipa simba mafanikio au bora kuambiwa tumesajili,

Wakasahau kabisa kujadili kwanini tuna miaka 5 hatuchukui V.P.L, Ongera viongozi wa simba kwa kucheza na akili za wanachama wao.
 
Baba Kiki

JF-Expert Member
May 31, 2012
1,542
2,000
Hoja yako unataka wasisajili................, halafu iweje .....................!
 
Mgodo visa

JF-Expert Member
Nov 1, 2016
3,304
2,000
Katika ulimwengu huu wa soka duniani hakuna viongozi wenye akili kama viongozi wa simba, kwanza walivyokosa ubingwa wa V.P.L wakajifanya kuzuga kwa kukataa kuvaa medali za mshindi wa pili wakawadanga wapenzi wao kuwa tuna rufaa FiFa ubingwa wa V.P.L niwa simba s.c baadhi ya wanachama mambumbumbu wakawa wanashangilia wakasahau kuwa fifa hawawezi kufanya maamuzi yoyote bila kurudi chama cha soka nchi husika,

Viongozi wa simba walichofanya sasa ili kuwasaulisha wapenzi wao na wasikumbuke tena maswala ya FiFa na wasijadili walikosa vipi ubingwa wakati waliongoza ligi kwa kipindi kirefu na ilifikia hata hatua ya kuongoza ligi kwa tofauti ya pont 8 wakahamia kufanya usajili wa mbwembwe ili wanachama wao washangilie wachezaji wanaokuja bila kujiuliza hawa kweli ni wachezaji kweli wakuipa simba mafanikio au bora kuambiwa tumesajili,

Wakasahau kabisa kujadili kwanini tuna miaka 5 hatuchukui V.P.L, Ongera viongozi wa simba kwa kucheza na akili za wanachama wao.
Chezea MANALA wewe...!!

Huyu mtu ana IQ, si wa mchezomchezo..
 
Mbojo

JF-Expert Member
May 31, 2011
1,408
2,000
Sasa hoja yako ni ipi waendelee kuutafuta ubingwa FIFA au wajiandae kwa msimu ujao? Umetuacha juuujuu ujue.
 
KUCH KUCH

JF-Expert Member
Dec 18, 2015
858
1,000
Katika ulimwengu huu wa soka duniani hakuna viongozi wenye akili kama viongozi wa simba, kwanza walivyokosa ubingwa wa V.P.L wakajifanya kuzuga kwa kukataa kuvaa medali za mshindi wa pili wakawadanga wapenzi wao kuwa tuna rufaa FiFa ubingwa wa V.P.L niwa simba s.c baadhi ya wanachama mambumbumbu wakawa wanashangilia wakasahau kuwa fifa hawawezi kufanya maamuzi yoyote bila kurudi chama cha soka nchi husika,

Viongozi wa simba walichofanya sasa ili kuwasaulisha wapenzi wao na wasikumbuke tena maswala ya FiFa na wasijadili walikosa vipi ubingwa wakati waliongoza ligi kwa kipindi kirefu na ilifikia hata hatua ya kuongoza ligi kwa tofauti ya pont 8 wakahamia kufanya usajili wa mbwembwe ili wanachama wao washangilie wachezaji wanaokuja bila kujiuliza hawa kweli ni wachezaji kweli wakuipa simba mafanikio au bora kuambiwa tumesajili,

Wakasahau kabisa kujadili kwanini tuna miaka 5 hatuchukui V.P.L, Ongera viongozi wa simba kwa kucheza na akili za wanachama wao.
Si lazima na wewe uwe mwandishi. Hujui kanuni za uandishi, huna mantiki na zaidi ya yoooote, story ya hovyo.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom