Gordian Anduru
JF-Expert Member
- Apr 16, 2021
- 400
- 811
Sawa bro, lakini na sisi tulimhifadhi (japokuwa tulikuwa hatujui) kwa namna moja au nyingine na watu wetu 500 kwa miaka 4 walitoa jasho lao/walichangia nguvu kazi kufukua mjusi/dude huyo na pia Inawezekana malipo kwa wachimbaji husika hayakuwa halali.Shida ni akiletwa huku gharama za kumtunza ni kubwa mno, waache wanufaike tu.
Hatuwezi kupata kaTOZO kidogo?Shida ni akiletwa huku gharama za kumtunza ni kubwa mno, waache wanufaike tu.
Anakula tani ngapi za nyama kwa siku?Shida ni akiletwa huku gharama za kumtunza ni kubwa mno, waache wanufaike tu.
Hapo mwisho ndo umefiria vizuriSawa bro, lakini na sisi tulimhifadhi (japokuwa tulikuwa hatujui) kwa namna moja au nyingine na watu wetu 500 kwa miaka 4 walitoa jasho lao/walichangia nguvu kazi kufukua mjusi/dude huyo na pia Inawezekana malipo kwa wachimbaji husika hayakuwa halali.
Basi walao kama kifuta jasho, watugawie ka% fulani hv. kati ya kile kinachopatikana kwa utalii huo kuliko tukose kabisa. Au unasemaje Bro.? Tufungue kesi?