Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,470
- 911,174
Kutokana na madhara ya mitambo ya nuklia ikiwemo majanga ya kiasili kama yale ya Japani, hofu ya ugaidi, namna ya kuteketeza uchafu wa nuklia na changamoto nyingi kibao serikali ya ujerumani imeamua kuizima milele mitambo yao ya nuklia na wanasema hatua hiyo itakuwa kubwa kama ile ya kuziunganisha nchi zao za mashariki na Magharibi baada ya kuanguka kwa umoja wa Soviet. Mpango wao huu utakuwa umekamilka kufikia mwaka 2012 na hivyo wamejipangia miaka 10 kukamilisha.........................swali ni ya kuwa hivi kwa nini sisi nchi yenye umasikini wa kutupwa tunaiga kunya kwa tembo.....au kuutafuna mfupa uliomshinda mzee fisi?
Only stupidity guides this government to hell...............................
Only stupidity guides this government to hell...............................