Ndege Tausi
JF-Expert Member
- Nov 12, 2013
- 992
- 472
Asante kwa kunifariji.Nyota ya watoto Ipo karibuni!!!
Una jini mahabaMimi ni mwanamke sijawahi kuzaa kutokana na matatizo fulani lakini cha ajabu kila ninapokuwa au niendapo napendwa sana na wajawazito. Utakuta mahali ninapoishi wajawazito wanakuja kuongea nami na hadi wengine kupumzika kutwa. Ofisini kwangu hali ni hiyo hiyo. Nauliza ni kwa nini hali hiyo ipo hivo? Naomba mwenye kuwa na jibu anijibu.
Umeolewa?Asante kwa kunifariji.
Umefungwa nifate pm nikusaidieMimi ni mwanamke sijawahi kuzaa kutokana na matatizo fulani lakini cha ajabu kila ninapokuwa au niendapo napendwa sana na wajawazito. Utakuta mahali ninapoishi wajawazito wanakuja kuongea nami na hadi wengine kupumzika kutwa. Ofisini kwangu hali ni hiyo hiyo. Nauliza ni kwa nini hali hiyo ipo hivo? Naomba mwenye kuwa na jibu anijibu.
Acha hizo bwana hembu dadavua hata mimi hilo nipo nalo huwa saa zingine najiuliza sipati jibuUmefungwa nifate pm nikusaidie
asanteWanampenda mme wako kuwa makini
Hapana tena nauchukia sanaUtakuwa mlaji mzuri wa udongo
Asante Passion.Jamanii.....utapata tu...mungu ni mwema
Hapana sio hisia maana ni kitu halisi kila mwanamke akiwa mjamzito anapenda kuwa karibu na mimi, na wengine wanapumzika/wanashinda wamelala mchana kutwa nyumbani kwangu. Kuna mmoja alinizoea sana hadi alipojifungua mtoto wakasema amefanana na mimi lakini alipokuwa akafanana na baba yake.Hisia zako zinakupelekea hivyo kwa sababu ya hayo matatizo yako...
kumbe na wewe una maneno eeeeh, jst asking don't stone on me.utakuwa una nyota ya zari mondi