Wajawazito wananipenda!

Ndege Tausi

JF-Expert Member
Nov 12, 2013
992
472
Mimi ni mwanamke sijawahi kuzaa kutokana na matatizo fulani lakini cha ajabu kila ninapokuwa au niendapo napendwa sana na wajawazito. Utakuta mahali ninapoishi wajawazito wanakuja kuongea nami na hadi wengine kupumzika kutwa. Ofisini kwangu hali ni hiyo hiyo. Nauliza ni kwa nini hali hiyo ipo hivo? Naomba mwenye kuwa na jibu anijibu.
 
Una jini mahaba
 
Umefungwa nifate pm nikusaidie
 
Hisia zako zinakupelekea hivyo kwa sababu ya hayo matatizo yako...
 
Hapana sio hisia maana ni kitu halisi kila mwanamke akiwa mjamzito anapenda kuwa karibu na mimi, na wengine wanapumzika/wanashinda wamelala mchana kutwa nyumbani kwangu. Kuna mmoja alinizoea sana hadi alipojifungua mtoto wakasema amefanana na mimi lakini alipokuwa akafanana na baba yake.
 
basi hizo ni dalili njema kuwa anaefata kupigwa MIMBA ni wewe!
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom