Wajasirimali wa ukweli

Shega H

Member
Jun 26, 2011
9
3
Jamaa wawili walimaliza mafunzo ya ujasirimali hivyo wakahadiwa kupata mtaji wa milioni 10 iwapo wangezalisha faida ya 20% kutoka katika mtaji ambao wangepewa.Basi jamaa wakachukua sh.500,000/= wakaenda kijiji kimoja,wakachapisha matangazo kwamba wananunua NYANI mmoja sh.10,000 siku ya pili wakaletewa nyani 20! Watu wakalipwa wakajikata kitaa !kukawa kimya jamaa wakaongeza dau kila nyani sh.25,000 hapa nyani walisakwa mpaka wakaisha wote hapa walinunua nyani 15.Basi jamaa wakapanga mmoja atangulie town kumsubiri mwenzie,hapa wakijua kijiji hakina tena nyani walitangaza dau jipya kila nyani sh.60,000.hapa jamaa aliyebaki aktafta mwenyeji akamwambia awalete watu atawauzia kila nyani sh.50,000 kwa siri ili jamaa arudipo toka town wamuuzie sh.60,000 na kunufaika kwa 10,000.acha watu wanunue nyani @ 50,000,jamaa akauza nyani wote! akasepa.walifunga mahesabu wakaenda kuchukua mtaji wao mill 10 huku wanajamii wakibaki na manyani yao.(ceteris peribus).
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom