Kijakazi wa II
Mkuu
kijakazi wa II kweli nimecheka sana!!!
Ufahamu wako wa Physical Geography, somo nililosoma miaka mingi iliyopita inaelekea ni mdogo sana.
Kwanza tuanze na hadithi zako za Tokyo.
Mwaka jana nilikuwa hapo, na sikuona dalili za watu kutembea na taka taka zao ili wakatupe wapi sijui!!
Pili , kanuni za miji yote, na hata hapa Dar es salaam ni kuweka viwanda vyote katika zone yake, na vinahsare miundombinu ya services, iwe simu,barabara, maji au umememe mkubwa.
Hivyo basi mimi siyo wa kuhadithiwa, nilikuwa Tokyo,Japan mwaka jana tu, na hayo unayoyaongea pengine wameanza leo!!
Tatu, epi centre ni kitovu cha tetetmeko i
n real time, na si a permanentphenomenon , hii ni kwa maana ya kwamba epi centre ya tetemeko likiwa mahali fulani leo hapatakuwa epicentre ya tetemeko la kesho!!.
Pengine ulimaanisha The Pacific Rim, eneo lililopo ukanda wote wa bahari ya Pacific inayopakana na Japan, Indonesia na inazunguka hadi Marekani.
The Pacific Rim au Ring of Fire ni eneo ambalo kuna volcano zaidi ya mia nne zilizo active......
The Ring of Fire is an area where a large number of earthquakes and volcanic eruptions occur in the basin of the Pacific Ocean. In a 40,000 km (25,000 mi) horseshoe shape, it is associated with a nearly continuous series of oceanic trenches, volcanic arcs, and volcanic belts and/or plate movements. It has 452 volcanoes and is home to over 75% of the world's active and dormant volcanoes.[SUP][1][/SUP] It is sometimes called the circum-Pacific belt or the circum-Pacific seismic belt.
About 90%[SUP][2][/SUP] of the world's earthquakes and 81%[SUP][3][/SUP] of the world's largest earthquakes occur along the Ring of Fire
Source: Wikipedia
Hii elimu ni ya bure mitandaoni na jitahidi ndugu yangu ku-update your knowledge.