Wajapan wamebuni mbinu ya kudhibiti matumizi ya maji

Hilo neno 'kudhibiti' kwenye heading ya thread linanipa shida kidogo. Maji kiasi gani yanatakiwa kusukuma uchafu? Na mtu anatumia kiasi gani cha maji ili tanki lijae ili kusukuma uchafu kwa ufanisi?
Endapo tumbo limechafuka na mwendo kuwa kasi mithili ya bodaboda, je kuna namna ya ku-by pass hiyo system ya kunawa mikono?
 
we mama wa ufipani hapo ulichoona ni ubunifu mpya

Sasa tukinawa nyumba nzima kwenye ndoo, halafu hayo maji tukayamwaga chooni nao unaitwa ubunifu
 
Kuna mizigo hadi nusu kilo! sidhani kama maji ya kunawa yataweza iyo shughuli...
 
Huenda haja kubwa yao ipo in form of mucus ili hayo maji yatoshe kusukuma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…