Wajanja night vip tena

Leo saa 8 usiku nimejiunga bila tatizo, nadhani kuna kitu walikua wanarekebisha. ukipiga *149*02# utaona something new check it out guys

wamewapendelea wa univacity 2 cc wapga wametuonea
 
wamewapendelea wa univacity 2 cc wapga wametuonea

Sidhani kama ni kweli, mie niko ndani ya eneo la chuo na hua najiunga na university promotion lakini hii JIMUVUZISHE nmeambiwa niko nje ya eneo la JIMUVUZISHE
 
NingaR hii jimuvusishe ni sh. ngapi na inashika maeneo ipi? nikiwa na hamu ya kuchat huwa nagonga uni promotion

mkuu college gan if i may ask?
 
Last edited by a moderator:
mi mwneyewe nimejaribu kujiunga wakaniambia sipo maeneo so nafikiri ni sehemu tofauti na chuo. thanx for the heads up
 
8.7Mbps mambo ya connectify hayo?

Siyo conectify kaka bali Mambo ya Huawei E352 kitu cha Orange Mobile(kina antenna ya kukamata 3G )
kuna dogo kaniletea toka kwa Madiba.
Unaambiwa ni dude la 14.4 Mbps but kibongo bongo napata 4-5mbps hiyo screen shoot imenishangaza leo mida ya Alfajir.
Hawa voda ni Habari nyingine Aisee..... wait nikipata muda nitakipiga picha nikuwekee kunako jamvi maana sasa nipo job mwanakwetu!!!!
 
dah kitu imerudi hewani kama kawa.asante voda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…