Hapana jamani ipo hivi..Mfano ulijiunga jana usiku wa saa 7 usiku,hapo utatumia paka saa moja asubuhi utajiunga tena saa saba usiku,ina enda na muda unaojiunga ndio kesho yake utajiunga muda huo huo.
Mr Arsenal
brother nme2mia hii ofa 4 more than 6 months and downloaded terabytes and terabytes of data nkisema its not working trust me it ain't. Ok just 2 be clear line zote even ambazo hazijaungwa jana haziungi
hii offa ikisitishwa patakuwa pagumu. duhhhhhhhhhhh
inauma roho sana kama ndo hivyo. nilikuwa nimeshaifanya ndo mteremko wangu. na nilivyo na series nyingi nafuatilia zinatoka episode kwa episodeMbona Tayari weshapiga pini la kimya kimya!! Nadhani hawajamaa walidhani hii offer itatumiwa na kikundi cha watu wachache but imekuwa kinyume nyume maana watu hawanunui bando mchana wao wanasubiri tu mida ya kubundi ifike waanze kupakua so why kina Rostam washastuka kuona jinsi tunavyokamua vibaya bandwith yao. Kwa upande mwingine mangwi mkubwa humu JF nao umechangia kusitishwa haya makitu
:msela:Hacheni kulia lia system ya voda ilikuwa na matatizo maana hata sms toka mitandao mingine kuja vodacom zilikuwa zinachelewa kuingia wakati mwingine hadi baada saa1 au saa 3 tokea itumwe ndo unaipata sms yako.
Sasa mitambo imetengemaa na wajanja night offer nayo imerudi kama kawa so Wazee wa kubundi Adolph leh Shaffin Simbamwene Good Guy Kang Ungeni sasa ili usiku mutest kama speed ime-reduce au bado iko faster kivile.:violin: :cheer2:
jimuzishe???? Waweke ya net..
Kwa mtazamo wangu hawa jamaa huwa wanaingia humu forum na wamegundua kwamba member wengi wanapenda vya mteremko hivyo waliamua kusitisha kwa muda Knight offer ili wacheck bandwith yao inakamuliwaje.
Bila shaka walichogundua ni kwamba wakesha na net ndiyo yanaikamua sana bandwith kuliko wale wa Bundle.
Sasa wameirudisha but hivi punde watalimit speed au kuifutilia mbali.
NingaR hii jimuvusishe ni sh. ngapi na inashika maeneo ipi? nikiwa na hamu ya kuchat huwa nagonga uni promotion