Sitanii hapa kwetu leo 18/09/2015 hakuna umeme tokea asubuhi,huku tuliamka tukiwa na matumaini tele kuwa ule umeme wa gas unaanza leo ,Mitambo itawashwa Ubungo,Kinyerezi na mnazi bay,grid ya taifa itanona,viwanda hadi vijijini,bei poa na tutanusu maji yetu ili tuyatumie kwa kilimo cha umwajiliaji, tutanusuru misitu yetu kwani gunia la mkaa litakuwa sawa bei mara kumi kulinganisha na bei ya gas.hii nini sasa?
Uposawa kuuliza japo umeanza kejeli humohumoSitanii hapa kwetu leo 18/09/2015 hakuna umeme tokea asubuhi,huku tuliamka tukiwa na matumaini tele kuwa ule umeme wa gas unaanza leo ,Mitambo itawashwa Ubungo,Kinyerezi na mnazi bay,grid ya taifa itanona,viwanda hadi vijijini,bei poa na tutanusu maji yetu ili tuyatumie kwa kilimo cha umwajiliaji, tutanusuru misitu yetu kwani gunia la mkaa litakuwa sawa bei mara kumi kulinganisha na bei ya gas.hii nini sasa?
Labda tuwaongeze siku tuwaachie mwez wote huu,m nilidhani hawakutakiwa kuja kutukana mamba kabla hawajavuka mto yaani kutuhaidi umeme wa uhakika kabla hawajaunga hiyo mitambo,m nadhani tuwape muda pengine wako katika kumalizia ile opareshen yao ya kukata mataw ya mit inayoparamia nyanya za umeme,tuwape muda usikute wanafikiri waje wajitetete vipi gesi tumeunganisha lakin kifaa kinachofua gesi kimeingua ndio wamekiagiza toka ughaibuni,pengine tuwape muda mtwara mvua zimepungua wanasubil mvua zianze waivune kwa wing ges ,m ushaur wangu tuwape muda
Tangu lini umewahi sikia tanesco wanasema ukweli