Waja leo waondoka leo?

Tanga kuzuri. Nilitamani na mwaka huu nifike tena kutembea.

Inshallah mwakani ntaenda tanga nikazurure bara 12, mikanjuni, duga,
 
Jamani, wengine hapa wa bara kweli, sasa maelezo yenu naona mnahabarishana/mnaelezana badala ya kutufanya wasiojuwa bada waijue. Ebu tumieni Kiswahili rahisi basi. Ama siyo hiypo elimu itakuwa yenu tu. Nasi twataka jaribu pika hilo bada.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…