Waiter zungusha tenaa

😀😀😀
Nakumbuka kale ka wimbo ka Roma na bagdad "Ccm sale ingekua kaki chadema wangetinga kijani na yellow. Big G ingeuzwa laki gunia la bangi likauzwa jero"
 
😀😀😀
Nakumbuka kale ka wimbo ka Roma na bagdad "Ccm sale ingekua kaki chadema wangetinga kijani na yellow. Big G ingeuzwa laki gunia la bangi likauzwa jero"
Ah ah ah ah ah
 
Kwa shida tulionazo acha watupumbaze kwa kushusha bei za bia
 
Huyo anayechat na mwenzie mwambie akifika singida,anitafute nimuoneshe chimbo zuri la kupata bia huku ukifurahia kuona totoz za kinyaturu zikikata mauno jukwaani!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…