Tushayazoea hayo manenoKwa kigoma mjiandae kusonyana maana hakuna anayekubali kugeuka jiwe
Lazima mzoee maana nyie ni majizi wazoefuTushayazoea hayo maneno
Du, nyomi yq kufa mtu.Alikimbizwa fasta kwenda kuongeza nguvu kwenye kambi ya kampeini ya moja ya wagombea wa ccm mkoani kigoma wakiamini ushawishi aliokuwa nao akiwa cdm baada ya kuvalishwa gamba lao hii ndio adha aliyo ipata,kaambulia wana ccm 20 tuView attachment 822781
Umeonaeeee?Du, nyomi yq kufa mtu.
kabsaaaInabidi washitakiwe kwa sheria ya uhujumu uchumi maana wanakuwa wanasababishia taifa hasara kwa makusudi
Na kunuka pia maana mfungwa hachagui gerezaHizo nguo hazimuwashi?
Majibu hapa hapa Duniani
Mungu ampige zaidi na kuwa kipofu awe.
Hio ndo meza kuu yatakiwa Picha ya mbele kuonyesha mafurikoSasa mbona hapo hujapiga picha kutokea meza kuu!?
GongoSura ya jamaa haifai hata kuaminiwa !!
Gharama yake sasa plus za uchaguzi unajenga hata shule Tatu kwa kushirikisha nguvu za wananchi, aliemroga mwafrika kafa.Uzuri wa ccm wao ni kata kwa kata,nyumb kwa nyumba mtu kwa mtu
Hao wote watapigia kura ccm,ukichangana na wengine vijiji vingine kura zinatosha
Nyie subirini hedikopta ijaze watu badae wanatimka kura zikihesabiwa mnalia mmeibiwa
Demokrasia ni gharama kamandaGharama yake sasa plus za uchaguzi unajenga hata shule Tatu kwa kushirikisha nguvu za wananchi, aliemroga mwafrika kafa.