Waitara aanza kwa kishindo Buyungu

Waitara aanza kwa kishindo Buyungu

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
137,589
Reaction score
272,327
Waita mwita akihutubia maelfu ya wakazi wa Buyungu waliofulika chini ya mti, usi.jpg

Hapa akimnadi mgombea ubunge wa ccm Buyungu
 
majambazi ya kisiasa haya, yanatuibia watanzania
 
Alikimbizwa fasta kwenda kuongeza nguvu kwenye kambi ya kampeini ya moja ya wagombea wa ccm mkoani kigoma wakiamini ushawishi aliokuwa nao akiwa cdm baada ya kuvalishwa gamba lao hii ndio adha aliyo ipata,kaambulia wana ccm 20 tu
FB_IMG_1532961785122.jpg
 
Sasa mbona hapo hujapiga picha kutokea meza kuu!?
 
Uzuri wa ccm wao ni kata kwa kata,nyumb kwa nyumba mtu kwa mtu
Hao wote watapigia kura ccm,ukichangana na wengine vijiji vingine kura zinatosha
Nyie subirini hedikopta ijaze watu badae wanatimka kura zikihesabiwa mnalia mmeibiwa
 
wanao hamahama wote ni majambazi wa kisiasa, wanapora hazina yetu
 
Uzuri wa ccm wao ni kata kwa kata,nyumb kwa nyumba mtu kwa mtu
Hao wote watapigia kura ccm,ukichangana na wengine vijiji vingine kura zinatosha
Nyie subirini hedikopta ijaze watu badae wanatimka kura zikihesabiwa mnalia mmeibiwa
Kwa kigoma mjiandae kusonyana maana hakuna anayekubali kugeuka jiwe
 
Back
Top Bottom