Kireka1980
JF-Expert Member
- Mar 18, 2008
- 302
- 43
Hii sekta ya utalii Zanzibar inaingiza pesa nyingi sana, lakini maskini wa Mungu pesa yote (60%) inaenda Italy. Ukiangalia idadi kubwa ya watalii Znz ni kutoka Italy hawa wanakodi ndege toka kwao mfano Eurofly wakifika hapa tour inayowapokea ni ya Waitaly hoteli wanayofikia ni ya Waitaly. Kwa aliyewahi kufika hoteli za Shamba Znz atakubaliana na mimi kuwa zaidi ya nusu ya hotel ni mali ya Italian.
Hatuwezi kuwa na sheria ya kudhibiti hii hali!
Sisi Watanzania tunanufaika vipi hapo?
Mimi nina hasira sana!
Hatuwezi kuwa na sheria ya kudhibiti hii hali!
Sisi Watanzania tunanufaika vipi hapo?
Mimi nina hasira sana!