Utabaki wewe tu!!!!!bakwata oyeeeeeeee..... Kuna kakikundi kanajiita IPF ni ka wanafiki ambako si mara ya kwanza kutumika tunawajua tunawatambua!
Huyo ni Mufti wa waislam au Mufti wa Bakwata?
Pasi na shaka ametoa tamko Hilo amewaomba wana Bakwata wenzake.
Baraza la bakwata latoa tamko kuwataka waumini kushiriki katika sensa ya mwaka huu ili kuiwezesha serkali kuendelea kuboresha mahitaji ya watanzania,pia sheikh mkuu amewaambia waendelee kutetea mambo yao ya msingi
Mufti ametangaza kupitia TBC1 na amewataka Waislam Kukubali kuhisabiwa.
Ritz, tume ya katiba, kombo, njiwa leta mironjo hapa mje mseme mufti anatumiwa...
Mnavyomtaja MUFTI wa TANZANIA unaitaja serikali ya Tanzania
Hata siku moja hajawahi kusimama na akatetea wazi wazi maslahi ya waislamu katika nchi hii.
YEYE NI SEHEMU YA SERIKALI NA BAKWATA YAKE
Takwimu za watu ni pamoja na idadi yao, taarifa zao pamoja na maeneo wanamo toaka swala la dini na makabila ni muhimu kwani kama sio muhimu mbona kwenye baadhi ya taasisi za kiserikali ( kwenye form za kujiunga na shule za sekondary ( form5) hata mm nilijaza ) vipengele hivyo vimo sasa iweje visiwepo kwenye sensaHuyu mufti ni muelewa sana na amesema haoni sababu ya waislam kugomea sensa.
Kwa matamshi ina maana sheikh ponda alikurupuka sana.
Na washauri waislam kuiga na kufuata na kumsikiliza mufti .
Hivi ushawahi kuona Dr.Ulimboka anaandama kutetea maslahi ya walimu?? Bila shaka noo, ni kazi ya Mukoba hiyo kiongozi wao. Sasa huyu mufti simba yeye ni kiongozi wa waislamu hata siku moja atetee maslahi ya waislamu hakuna sasa huyu kiongozi wao au kibaraka wa serikali?? Na serikali wanajua huyo zuzu na kichwani hamba elimu ndio mana anaburuzwa, kwa bahati mbaya sana wazee wachache ndio wanaomsikiliza but majority ya waislamu wanamuona kituko kwa u-puppet wake