Katika kigeugeu kipya Bakwata kwa kupitia sheikh mkuu wametangaza kuunga mkono sensa (soma chini, chanzo Daily news online). Ila msimamo wao uko palepale kudai kipengele cha udini kiwekwe humo.
Mi binafsi sioni tija kwenye hilo na mawazo yangu ni kuwa baada ya hapo hawa watu ambao wamepofushwa na kufungwa uelewa wao na kuona kila kitu kwa kutumia tafsiri na darubini ya dini zao hawaitakii mema nchi yetu.
Ni wazi kuwa pinde dhamira yao itapotimia basi hapo wataanza kuishinikiza serikali na taasisi zake kuwa lazima uteuzi wa nafasi nyeti na ajira ziendane na uwiano wa kidini badala ya kuangalia ufanisi na uwezo wa watu kufanya kazi hizo, na baadae kudai pia wapewe ruzuku kufundisha au kujenga nyumba zao za ibada. Si unajua tena binadamu haridhiki ukimpa kidole kesho atakuja dai mkono na zaidi na zaidi!
Ni kwa dhana hiyo napendekeza kama serikali ikiwakubalia kwa huo upuuzi, basi sisi wapenda maendeleo tujaze kwenye hiyo sensa kuwa dini yetu ni uenyeji hata kama ni waislam au wakristo maana hakuna tija yeyote kwenye hilo au tuache hilo swali wazi, huu ni upuuzi tu tusiendekeze...
Kuna watu wanadai eti oo mbona UK au US wanacho hicho kipengele kwenye sensa zao, hizo nchi asilimia kubwa ni wakristo na hizi dini nyingine ni minority na nyingi waumini wake ni wageni na nia halisi ni kuona jinsi gani ya kuwahudumia wageni huko. Sasa hapa kwetu sidhani kama waislamu au wakristo ni minority au hata wageni ni wazi kuwa wengi wao ni wenyeji na priority ya serikali yetu ni kuleta maendeleo kwa wote sio group fulani la watu.
Uenyeji / Uasili Juu!, tuweke hilo mbele...Down with udini na utengano kwenye taifa letu!
[h=2]Bakwata: We are not against census[/h][h=3]The National Muslim Council of Tanzania, Bakwata, has declared that it is not against the national population census and urged the faithful to actively participate.[/h]
Mufti Sheikh Issa Shaaban bin Simba told journalists in
Dar es Salaam on Monday that Bakwata understood the importance of conducting a population census.We have nothing against the core reasons of the census. What we are against is the recent habit of people who dont have the mandate of conducting and doing it on tribal and religious basis, he said.
Sheikh Simba said that he wanted every Muslim to take part in the exercise.
He, however, demanded to know from the government where it obtained statistics on the number of Muslims and Christians that had been posted in the national website.
Census has been conducted on numerous occasions; that is known.
What is also known is that the government doesnt conduct it along tribal and religious lines; we need to know where the statistics came from this time, he said.The Mufti called upon the government to formulate a law that will take to task anyone who isnt authorized to conduct a census and also to task those doing it along tribal and religious lines when the government has already abolished it.
He said that the council felt there was need to state their position, especially since in recent days there are many people who have come out airing the advantages and disadvantages of the census.
By MASEMBE TAMBWE,
Tanzania Daily News
PS: kwenye nyekundu nimeangalia national website sijaona hiyo data mufti anayozungumzia, kama kuna mtu anajua tafadhali tuelekezane.