Disclaimer: Chapisho hili ni kwa madhumuni ya mjadala wa kujifunza na kuelewa tofauti za maendeleo ya kiuchumi kwa jamii zetu, bila kuleta chuki, kupotosha au kushambulia.
Ni jambo lililo wazi kuwa baadhi ya Waislamu wa Kitanzania wenye asili ya Kiarabu wamepiga hatua kubwa kiuchumi—wakiwa na biashara kubwa, majengo ya kifahari, na ushawishi mkubwa kwenye sekta ya fedha.
Kwa upande mwingine, Waislamu wengi wa Kitanzania wenye asili ya Kiafrika bado wengi wao wanasalia nyuma kiuchumi.
Hali yao ya kimaendeleo inaonekana kuwa chini hata wakilinganishwa na Wakristo wanaofanana asili, mfano ukifuatilia kwa makini, jamii tano zinazoongoza katika biashara na uchumi (hata elimu) kwa Tanania Bara zina uwakilishi mkubwa wa Wakristo.
Sijawataja Wahindi anbao wengi wana dini zao, ni miongoni mwa matajiri wakubwa nchini Tanzania wanashikilia nafasi kubwa katika uchumi wa nchi lakini hatuna ukaribu nao wa kidini.