Waislamu badilikeni

Waislamu badilikeni

Wapo waislam wengi sana wenye elimu zote mbili na wenye maono tatizo mfumo uliowekwa pale kwenye Ile taasisi kwamba watu wa mfumo hawataki muislam mwenye akili,elimu na ujuzi wa mambo mbalimbali wanataka mtu anayejua kuomba tende na darubini
The institution has socially paralyze and this was aim,
Well said mkuu
 
Nadhani na nyinyi mna mtazamo potofu na hamuwaelewi Kiitikadi.
1. Kufuzu Kwa maisha ya muislam sio kuwa mimali na Shani za kidunia. Mali, watoto, dhahabu zinatakiwa zikupelekee kupata akhera yako na sio raha za muda mchache za kidunia.
Kwa wakristo nadhani ni opposite, ndio maana wanawashangaa waislam kujenga msikitini badala ya hospital.
2. Mfumo wa elimu ya Kiislam ukienda deep hutaamini macho yako. Mnajifunika Kwa hizi PhD fake za divinity mnajiona mna elimu kubwa.

Kaangalie volumes na volumes za vitabu vya akina Al Ghazali, Ibn Taymia, Imam Suyyut, Ibn Kathir, An nawawi, At tabar kitabu kimoja kina volumes zaidi ya ishirini zilizoshiba!

Kwa hiyo Kila watu wana elimu Yao usiione yako Bora. Aliyesoma Engineering na aliyesoma Economics wote wasomi ingawa wamesoma vitu tofauti.

Mwisho wa yote tutajua mbele ya Muumba nani kapatia nani kakosea.
Hatuhitaji kuwa kama nyinyi, hatuna Cha kujifunza kwenu abadani! Hakuna muislam anayemuonea wivu kafiri!
 
Asili ya ukweli, huwa unauma.

Viongozi wetu wa kiislam wana matatizo kichwani.
 
Waislamu

Si kwamba nawadhihaki bali nawaambia ukweli

Nimewafuatilia sana mnapokutana na wakuu wa nchi, mambo ambayo daima mnayaomba kwao ni dhaifu sana, ambayo ni;

1) Tupunguzieni ushuru wa Tende
2) Tupeni vifaa vya kuona muandamo wa mwezi

Bilashaka wakuu wanastajabu lakini wanapiga kimya, watafanyaje sasa maana ndio akili zilipoishia kwenye kuta za Quran.

Kwa upande wa Wakristo wanapokutana na wakuu wa nchi. Mambo wanayoyaomba;

1) Kupunguziwa ushuru wa vifaa vya huduma za shule, vyuo na hospitali

2) Kuomba maeneo ya kujenga shule, vyuo na hospitali

Sasa mnategemea mnaweza kushindana na akili hii? Na mkitoka hapo kwa upande wenu mkiwa kwenye bao na vijiwe vya kahawa mnaanza kulalamika mfumo kristo unatuhujumu, wanapendelewa na ndio maana wapo mbele kielimu. Mnajihujumu wenyewe kwa kutaka kula Tende harua chini ya miswala badala ya kuwaza kujenga shule na vyuo ili vijana wenu wasome. Ubize wenu wa kutaka kupunguziwa ushuru wa Tende na kutaka ofa za kwenda kuhiji Maka ndio msiba wenu. Na mkitoka huko kuhiji kwa ofa, na kujiita ma Alhaj, mnaanza kuuza maeneo ya waislamu yaliyotupu au kugombania kodi za maduka ya msikiti. Huku wenzenu kila siku wananunua hekali za kutosha za ardhi kwajili ya kujenga shule na vyuo.

Sikiliza,

Waislamu mashekhe wenu wengi ni darasa la 7 au form 4, ukuta wao wa mwisho ni aya za Quran na suna. Kazi yao kuu ni kuwapa ofa ya kuwatolea vijana mahari na kugombana na hoja za bidaa na si namna ya kuendeleza waumini wao kisasa. Sasa kweli mtakuwa na hoja zenye tija juu ya bandari dhidi ya wasomi wenye PHD?

Hivyo chuki ipo kwenu na si kwa Wakristo. Daima watu wasio na elimu hoja za elimu kwao inakuwa kama chuki wanapokutana na kigingi cha mtu mwenye elimu.

Ondoeni vile vizee vya albadir, wekeni vijana wasomi kwenye maeneo ya ofisi zenu kamwe hamtaona lawama hizi.

Lawama na makasiriko si mtaji zaidi ya kuharibu amani ya nchi. Inauma lakini imeze hivyo hivyo shekhe.

Credit to Jeff masaweView attachment 2729084
Tatizo ni kuwa ukiweka msomi na akaisoma vizuri na kuielewa Quran, basi kama kweli anataka pepo atauacha Uislam. They say islam without lies, dies; and if you read the Quran and Understand, you become apostate. Kwani imegungulika Quran imejaa Uongo mtupu na pia Muarabu anapotafsiri Quran kwenda lugha nyingine anapotosha maana halisi ili aendelee kuwapumbaza jamii ambao hawajui kiarabu
 
Usome Phd ili ukusanye sadaka😅😅😅.

Hao BAKWATA kila muislamu anajisimamia anajua mda wa swalah ,hata haki zake binafsi sio matamko wa wajanja wachache wenye elimu za kupewa.
 
Usome Phd ili ukusanye sadaka😅😅😅.

Hao BAKWATA kila muislamu anajisamamia anajua mda wa swalah ,hata haki zake binafsi sio matamko wa wajanja wachache wenye elimu za kupewa.
sawa tumekuelewa shehe
 
Back
Top Bottom